Mimi ni Masonic pre-member, nina hofu na mwanamke nilienae

Mimi ni Masonic pre-member, nina hofu na mwanamke nilienae

Kwahiyo sasahiv upo chuo? Zingatia masomo ufreemason waachie wanaoiweza
 
dogo fanya kazi acha ndoto za ajabu ajabu, huijui na huta kaa uijue free mason. we endelea tu kujipa majina hayo kama kujifariji.
 
Ukiona hivyo ujue Mungu kamuonyesha kitu mbelen huk juu ya maisha yako unayotak kuingia so think and change
 
Amekujua kama ni Freemasons ndio mana anaomba kwa bidii kuivunja nguvu yako
 
Utoto unakusumbua na ukome kusumbua vichwa vya watu wazima kusoma ujinga wako,kakojoe ukalale.
Mwaka 2007 ulikua std5 yaani umemaliza std7 mwaka2009.
Inamaana umeanza primary mwaka 2003 na bila shaka umezaliwa mwaka 97.
Mwaka 2012 uliomtafuta huyo sir chande ulikua na miaka 15 ndo umemaliza sekondari.
Kakojoe ukalale,utoto unakusumbua tafuta watoto wenzio wapigie porojo zako.
Pumbaaavu
 
Kwani Masons so wanaruhusu uwe na dini yako kama kawaida?

Halafu wafuatao wameponzwa na wanawake

Adam aliponzwa na Hawa.

Samson aliponzwa na Delila.

Anania aliponzwa na Safira.

Yohana aliponzwa na mke wa Herode.

Dr. Slaa aliponzwa na Mushumbusi.

Kanumba aliponzwa na Lulu.

Mugabe kaponzwa na kichuna wake.

Bado wewe!!!!
 
Mtafute wa jamii yako ili muamini pamoja na sio kumlazimisha huyo aamini Your Masonic belief
 
Achana na hzo habar za masoni wewe utapotea bila kujijua....kwann watu mnapenda slope hvyo
 
Sasa si ukawaulize hao Wenzako!
Humu unataka nani akusaidie wakati umetuambia kuwa hayo ni mambo yenu ya siri
 
Mwisho wa safari ya masonic ziwa la moto.

Kama umechagua huo mwisho kwanini unataka kumtoa kafara huyo binti wa watu.

Au hujui kwanini wame kwambia lazima awe unayempenda, hiyo inaitwa human sacrifice.

Shetani hana huruma hata kidogo, pia huko ni mwendo wa bisexual.
 
Kwa Mara ya Kwanza Nilisikia Story za Ishu za Freemason Nikiwa Darasa la 5 Nafikiri ilikuwa Mwaka 2007!

Nilikuwa Interested sana kiukweli na Hii Secret Society, Kiasi Kwamba Nikawa naiba Laptop ya Mzee Kuingia Mtandaoni Kuwafatilia!

Nakumbuka Nilikuta wale jamaa walikuwa Wajenzi wanaojenga kwa mawe yaani Masons..Nikavutiwa sana na ile ishu!

Nilibahatika kufaulia shule Moja ya Kipaji Pale Mjini Moshi, kwakuwa nilikuwa interested na Ufreemason Nakumbuka Nilipiga Chat kwenye Dorm Letu Juu Nikiandika The Mason... Nafikiri waliosoma hiyo shule miaka ya 2010-2013 wanakumbuka!

Kwa siri sana Mwaka 2012 Nilikuja Dar es salaam Kuja Kumtafta Si Andy Chande (RIP), Niliongea Nae akanipa Mwongozo ambao Kiukweli ulinisaidia sana...kujaribu kutaka Kutimiza Ndoto yangu kwa kiasi Kikubwa!

Mwongozo Ulioniletea tatizo ni huu wa Mwenzi wangu kufahamika kwenye Hii Jamii yetu, yaani wao wamjue na yeye aridhike kwamba ameridhia Kujiunga kwenye hii jamii ya siri na yupo tayari Kushirikiana kwa hali yeyote ile!

Na Huyo Mwanamke sharti Niwe Mwanamke Ninaempenda Kweli na nina Malengo Nae ya Maisha!

(Ikumbukwe yote haya nimefanya kwa siri Familia yetu haijui...Kipindi Hicho nilisindikizana na Mchizi angu ambae Naye yupo interested)

Tatizo Linaanzia Hapa!

Katika kudate na wanawake Kadhaa Nikaja Kukutana Mwaka huu na Mwanamke ambae Nimempenda Kiukweli na nafikiria kumuoa..yaani she is the best choice than ever!, na nilipanga tukifika hatua fulani lazima naye aingie kundini

wakati nimekutana na huyu binti alikuwa wa kawaida sana na hakuwa hata mtu wa dini dini, sasa Nashangaa siku zinavyozidi Kwenda Binti amekuwa Mlokole Haswa (Kiukweli Nakereka na Hili)....yaani amekuwa mtu wa sala kila time ananiombea mimi, anaombea uhusiano wetu, anaombea Familia Zetu!

Nimejaribu kufanya Figisu za kukwamisha hizi jitihada zake za Maombi na Ulokole na Nimeshindwa!, Na Nina Hofu na huu ulokole wake hawezi kuelewa Proposal yangu ya Kujiunga/Kunisuport katika Hii Jamii yetu ya siri!

Sasa wanandugu Nisaidieni je Nifanye Njia zipi kukwamisha Jitihada zake hizi za kilokole, yaani arudi kuwa kama zamani alivokuwa, maana mwanzo hakuwa mtu wa dini dini wala ulokole!

TheMason
so at 22 years of age you are already a mason. what profit though in a vanity?

Matthew 16:26 says For what is a man profited, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? or what shall a man give in exchange for his soul?
 
Point ya msingi watu wengi wanaoisubiri ni umefaidika na nini tokea ujiunge? Au uliambiwa utafaidika na nini
 
Back
Top Bottom