Mimi ni Masonic pre-member, nina hofu na mwanamke nilienae

Mimi ni Masonic pre-member, nina hofu na mwanamke nilienae

Anakwambia waliowake aliwatambua tangu angali wako tumbon mwa mama zao,kiufupi kakupa huyo b shost kama chambo ni lazima urudi huko siyo kwenu,rudi kwenu.Jesus is Good
 
Kwa Mara ya Kwanza Nilisikia Story za Ishu za Freemason Nikiwa Darasa la 5 Nafikiri ilikuwa Mwaka 2007!

Nilikuwa Interested sana kiukweli na Hii Secret Society, Kiasi Kwamba Nikawa naiba Laptop ya Mzee Kuingia Mtandaoni Kuwafatilia!

Nakumbuka Nilikuta wale jamaa walikuwa Wajenzi wanaojenga kwa mawe yaani Masons..Nikavutiwa sana na ile ishu!

Nilibahatika kufaulia shule Moja ya Kipaji Pale Mjini Moshi, kwakuwa nilikuwa interested na Ufreemason Nakumbuka Nilipiga Chat kwenye Dorm Letu Juu Nikiandika The Mason... Nafikiri waliosoma hiyo shule miaka ya 2010-2013 wanakumbuka!

Kwa siri sana Mwaka 2012 Nilikuja Dar es salaam Kuja Kumtafta Si Andy Chande (RIP), Niliongea Nae akanipa Mwongozo ambao Kiukweli ulinisaidia sana...kujaribu kutaka Kutimiza Ndoto yangu kwa kiasi Kikubwa!

Mwongozo Ulioniletea tatizo ni huu wa Mwenzi wangu kufahamika kwenye Hii Jamii yetu, yaani wao wamjue na yeye aridhike kwamba ameridhia Kujiunga kwenye hii jamii ya siri na yupo tayari Kushirikiana kwa hali yeyote ile!

Na Huyo Mwanamke sharti Niwe Mwanamke Ninaempenda Kweli na nina Malengo Nae ya Maisha!

(Ikumbukwe yote haya nimefanya kwa siri Familia yetu haijui...Kipindi Hicho nilisindikizana na Mchizi angu ambae Naye yupo interested)

Tatizo Linaanzia Hapa!

Katika kudate na wanawake Kadhaa Nikaja Kukutana Mwaka huu na Mwanamke ambae Nimempenda Kiukweli na nafikiria kumuoa..yaani she is the best choice than ever!, na nilipanga tukifika hatua fulani lazima naye aingie kundini

wakati nimekutana na huyu binti alikuwa wa kawaida sana na hakuwa hata mtu wa dini dini, sasa Nashangaa siku zinavyozidi Kwenda Binti amekuwa Mlokole Haswa (Kiukweli Nakereka na Hili)....yaani amekuwa mtu wa sala kila time ananiombea mimi, anaombea uhusiano wetu, anaombea Familia Zetu!

Nimejaribu kufanya Figisu za kukwamisha hizi jitihada zake za Maombi na Ulokole na Nimeshindwa!, Na Nina Hofu na huu ulokole wake hawezi kuelewa Proposal yangu ya Kujiunga/Kunisuport katika Hii Jamii yetu ya siri!

Sasa wanandugu Nisaidieni je Nifanye Njia zipi kukwamisha Jitihada zake hizi za kilokole, yaani arudi kuwa kama zamani alivokuwa, maana mwanzo hakuwa mtu wa dini dini wala ulokole!

TheMason
Man, you won't be serious at all.... You Can't seek advice from People who do not believe in Freemasonry,definitely you will end up being accused, annoyed and healed back on the right Path(the road of God).

Seek advice from your fellow freemasonry. That's all about!
 
Sifa moja wapo kubwa, katika jamii hii ya masonic, ni kukucha, uabudu katika dini yako ya asili.

Hilo/hivyo ndivyo ninavyo wafahamu hawa watu.
 
Nafikiri si sahihi kuiita secret society huku wana majengo ya wazi kabisa na wameyaandika kwa majina kabisa sasa inakuaje secrety society nadhani jina zuri liwe hili SOCIETY WITH SECRET
Mkuu may b ni mie mshamba mbona enz na enz walikuwepo kama caribonar from italian pia na eta al how comes wajiite secrety society while yye ndio anajiona secret au ndio kufunika kichwaa mwili uloe
 
Kwa mara ya kwanza nilisikia story za ishu za Freemason nikiwa darasa la 5 nafikiri ilikuwa mwaka 2007.

Nilikuwa interested sana kiukweli na hii secret society, kiasi kwamba nikawa naiba laptop ya mzee kuingia mtandaoni kuwafatilia.

Nakumbuka nilikuta wale jamaa walikuwa wajenzi wanaojenga kwa mawe yaani masons..Nikavutiwa sana na ile ishu.

Nilibahatika kufaulia shule moja ya kipaji pale mjini Moshi, kwakuwa nilikuwa interested na ufreemason nakumbuka nilipiga chat kwenye dorm letu juu nikiandika the mason... Nafikiri waliosoma hiyo shule miaka ya 2010-2013 wanakumbuka.

Kwa siri sana mwaka 2012 nilikuja Dar es Salaam kuja kumtafta Sir Andy Chande (RIP), niliongea nae akanipa mwongozo ambao kiukweli ulinisaidia sana kujaribu kutaka kutimiza ndoto yangu kwa kiasi kikubwa.

Mwongozo ulioniletea tatizo ni huu wa mwenzi wangu kufahamika kwenye hii jamii yetu, yaani wao wamjue na yeye aridhike kwamba ameridhia kujiunga kwenye hii jamii ya siri na yupo tayari kushirikiana kwa hali yeyote ile.

Na huyo mwanamke sharti niwe mwanamke ninaempenda kweli na nina malengo nae ya maisha.

(Ikumbukwe yote haya nimefanya kwa siri familia yetu haijui kipindi hicho nilisindikizana na mchizi angu ambae naye yupo interested)

Tatizo linaanzia hapa!

Katika kudate na wanawake kadhaa nikaja kukutana mwaka huu na mwanamke ambae nimempenda kiukweli na nafikiria kumuoa. Yaani she is the best choice than ever! Na nilipanga tukifika hatua fulani lazima naye aingie kundini

Wakati nimekutana na huyu binti alikuwa wa kawaida sana na hakuwa hata mtu wa dini dini, sasa nashangaa siku zinavyozidi kwenda binti amekuwa mlokole haswa (kiukweli nakereka na hili). Yaani amekuwa mtu wa sala kila time ananiombea mimi, anaombea uhusiano wetu, anaombea familia zetu.

Nimejaribu kufanya figisu za kukwamisha hizi jitihada zake za maombi na ulokole na nimeshindwa! Na nina hofu na huu ulokole wake hawezi kuelewa proposal yangu ya kujiunga/kunisuport katika hii jamii yetu ya siri.

Sasa wanandugu nisaidieni je nifanye njia zipi kukwamisha jitihada zake hizi za kilokole, yaani arudi kuwa kama zamani alivokuwa, maana mwanzo hakuwa mtu wa dini dini wala ulokole.

Themason
If that society of yours doesn't go against the core principal of God Almighty why you do not want to let her be who she want to be?
 
Kuna mmoja mbeya huku na alikua diwani WA ccm wilaya flani lakini yeye alikua tajiri kwa kutumia nguvu za giza.. Hv sasa ni kichaa kabisa wa kuokota makopo kwan mkewe baada ya kuokoka akaenda kuchoma manyanga yote.. Ili apone inabidi atoe kafara mtoto mmoja... Ama auze mali zake zote na pesa zipotee kimiujiza...

Uchawi unamwisho wake na mwisho ni mbaya... Ni bora ufanye ibada na umrudie muumba wako nadhani haitodhuru ni jambo jema na itapendeza zaidi
 
La kufanya ni kumwamini MUNGU ili uondokane na kuzimu kwani MUNGU ameamua kuokoa maisha yako kupitia binti huyu.
 
sijawahi kuona freemason wanaojitangaza mkuu. im short acha kuangalia movie. na pia muamini Mungu hamna utachokikosa
 
Maana yke ni kuwa kamtuma MTU(mchumbaako)akuepushe na jehanamu....tafakari
 
Acha utapeli

Pia punguza ujinga

zaidi usidhani humu JF wote tuko kama wewe
 
Mkuu hapo ndio ujue njia ulizopo si sahihi Mungu kakuletea mke wa kuja kukubadilisha okoka kama mchumba wako alivyo
huyu ni tapeli hajui chochote kuhusu masons.Masons haina uhusiano na dini ya mtu.unaendelea tu na dini yako
 
Kama Nollywood, movie ni ya saa moja lakini humo kati utapigwa kitu cha "10 years later"
 
Back
Top Bottom