Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,981
- 12,526
- Thread starter
- #121
WhyAisee,
Hapo kwenye hobby ya kusoma na mie nipo hivyo, ila hizo za misosi, movie na miziki kwa mimi ni No
WhyAisee,
Hapo kwenye hobby ya kusoma na mie nipo hivyo, ila hizo za misosi, movie na miziki kwa mimi ni No
Hapana .. ni genre tu nayoipenda😂😂😂Mhh hizi sio za kitoto
Umekuwa detective?
History, geopolitics, thrillers na world geography.. ni vitu navyopenda sana since nikiwa secondaryHatari sana mwanangu
Kuna kitu nadhani tunashare ila anyway ila nimependa sana kakaHistory, geopolitics, thrillers na world geography.. ni vitu navyopenda sana since nikiwa secondary
Mkuu,huwezi ukasoma vitabu halafu ukabaki kama ulivyo kamwe. Vitabu vina faida nyingi sanaa,hata kama havikufanyi kuwa Bakhressa au MO. Faida bado ipo.Kama unasoma na ujuzi ama weredi unaoupata katika majarida unakusaidia kutoboa kimaisha safi endelea lakini kama ni tofauti basi huna tofauti yoyote na sisi ambao lazima tupitie bar kuchangamsha ubongo kila siku jioni huku tukipata mziki kwa mbaliii
Sio lazima uwe defective ndo usome,ni kwa ajili ya wote. Kuna maujanja fulani hivi unayapata humo huyapati popote,sio poa.Mhh hizi sio za kitoto
Umekuwa detective?
Vinakuondolea Hali ya kutu kichwaniMkuu,huwezi ukasoma vitabu halafu ukabaki kama ulivyo kamwe. Vitabu vina faida nyingi sanaa,hata kama havikufanyi kuwa Bakhressa au MO. Faida bado ipo.
Asante mkuuBasi unaakili nyingi kuwa tu na hamu ya kupenda kusoma ni kiashiria tosha
Ntatafuta hivyoSio lazima uwe defective ndo usome,ni kwa ajili ya wote. Kuna maujanja fulani hivi unayapata humo huyapati popote,sio poa.
Hakika mdau.Vitabu vya aina hii ukivisoma vinakubadili ubongo 100%. Kwanza hauchukulii mambo kawaida kawaida,pili unakuwa unapofanya maamuzi hauwazi hapa tu unawaza mbali in deep,tatu unajaribu kufikiria response ya mtu mwingine kwa jambo lako kabla mwenyewe hajarespond. Ingekuwa amri yangu hakuna mtu kuwa kiongozi wa nchi nafasi yoyote ile kama hajavipitia hivi vitabu. Keep going.
CHAIStarehe ya ubongo wangu na kilevi Cha kwanza ni kusoma.cha pili ni kulakula
Cha tatu movie na mziki.vingine vitafuatia.
Mie Niko addicted na kusoma tangu Niko mdogo hata kabla sijaanza shule.hata kabla sijaanza chekechea tayari najua kusoma na kumultiply,kujumlisha.kuna muda nlikuwa nasoma kitabu chote Kisha nangojea ufafanuzi tu darasani.imagine mwalimu anasema haya Fulani nyanyuka utusonee hadithi sijui ya pwagu na pwaguzi,mie nakaa pembeni Kila aya tayari nshaisoma ipo kichwani.
Turudi Sasa kwenye kusoma mie sijui ndio nimeumbwa,ubongo wangu hauchoki,ukichoka basi nasinzia.
Tangu Niko mdogo biblia naijua kuanzia mwanzo mpaka ufunuo namaliza. Magazeti ya kiu,the guardian,mwananchi,nipashe,sani.nasoma kuanzia ukurasa wa mbele mpaka mwisho.
Majarida ya FEMA yote nimesoma.na ndipo nlipopatia elimu ya ujana.yani ninyime chochote ila sio kitabu nlichokipenda,ninyime vyote ila sio gazeti.nlikuwa nkiboreka natafuta gazeti au kitabu,nkikukuta unasoma nakwambia kabisa ukimaliza naomba.nilikuwa nikitembea njiani naokota vipande vya magazeti nasoma huku natembea.ukinikuta nasoma Niko mbali hata ulimwengu wa nje sijui Nini kinaendelea.marafiki wa utotoni baba Yao alikua anafanya kazi ipp media,wanapewa magazeti Kila siku anarudi nayo.imagine natoka Naenda kwao kuchukua magazeti nasoma Kisha narudisha.majirani kule kwingine wanajua kabisa Abby anakuja kufata gazeti,ama akishasoma ananipa.
Ilifika kipindi nkipata pocket money nanunua magazeti njiani Kwa wale walikuwa wanauza kwenye meza.ni nadra kukuta kabinti kadogo miaka Ile kunanunua gazeti zaidi wazee na wafanyakazi.
Nlipopata kuingia kwenye zama zingine za tech nikaacha taratibu magazeti na vitabu hardcopy na kuhamia huku.
Huo ulevi ndio ulinifanya niijue jamiiforums tangu 2015 na tagu niingiie humu nikaona ni eneo mojawapo sahihi Kwa ulevi wangu..kusoma!
Mie bila kusoma Kwa siku ni kama Teja wa visungura au madawa akikosa ndio ubongo wangu unakuwa hivyo.
Simu ikiharibika huwa napata tabu sana.kama nlitaka siku isonge nikae karibu na rundo la vitabu.
Ilifika wakati watu nliokuwa naishi nao wananishangaa.niko tofauti na wengi.
kati ya zawadi niletee gazeti au kitabu au jarida nafurahi mno
Je hii ni kawaida?
Nakifahamu ninacho soft copyKuna kitabu nimesahau jina. Ni cha kiswahili.
Stori inahusu dogo alimpoteza mtoto wa dada ake, akaanza kumtafuta
kumbe huyo mtoto aliibwa na watu.
Je uliwahi kukutana nacho hiki kitabu.?
Kinaitwa Safari ya Prosper.Kuna kitabu nimesahau jina. Ni cha kiswahili.
Stori inahusu dogo alimpoteza mtoto wa dada ake, akaanza kumtafuta
kumbe huyo mtoto aliibwa na watu.
Je uliwahi kukutana nacho hiki kitabu.?
NAomba ukipandishe hapa kama hutojariKinaitwa Safari ya Prosper.
Ngoja niichekiNAomba ukipandishe hapa kama hutojari
NAomba ukipandishe hapa kama hutojari