Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Unataka nikupe mfano wa matusi?Hivi ueledi ni nini jamani tuanzie hapo kwanza...nimeshangaa kusikia anatukana kwa ueled
Kenge we
Unataka nikupe mfano wa matusi?Hivi ueledi ni nini jamani tuanzie hapo kwanza...nimeshangaa kusikia anatukana kwa ueled
Mkuu unanitukana nimekosa nini?Unataka nikupe mfano wa matusi?
Kenge we
Nyie ndo mnachelewesha mabadilikoMkuu unanitukana nimekosa nini?
We mfollow tu. Ministries kashapiga biti huko
Mkuu unanionea mimi nimeuliza maana ya ueledi sijawahi kuwa Lumumba na sitakuwa. Samahani kama nimekukwazaNyie ndo mnachelewesha mabadiliko
Ungekuwa karibu nakulamba Kofi, nyie lumumba mmelogwa?
huyu alishiriki kuchonga kinyago.kamprni za MAGUFULI leo kageuka kuwa mwenye matusi? lol si ni huyu alitwambia fulani kajinyea nasi tukashangilia? leo kimezidi nn?sijawahi kuona/kusikia mrembo mwenye matusi kama huyu duniani...
hayo umeleta wewe tu, anamatusi kwa nyakati zote mkuu.huyu alishiriki kuchonga kinyago.kamprni za MAGUFULI leo kageuka kuwa mwenye matusi? lol si ni huyu alitwambia fulani kajinyea nasi tukashangilia? leo kimezidi nn?
Hata wale viongozi wanaojita majiwe wakiona picha yake wanatetemeka
MKUU KASAHAU KWAMBA HUYO KAMEZA MPAKA UTAWALA,WOTE WANAMUIMBA NA RUNDO LA MAPOVU.[emoji23] kila mbuzi anakula kwa uwezo wa kamba ake
ref. msukuma, kibajaji na mkapa hawa unasemaje? hawana matusi " yule aliyewaita wananchi vinyago je lile sio tusi" ama kwakuwa alivaa skarf yenye rangi za bendera?hayo umeleta wewe tu, anamatusi kwa nyakati zote mkuu.
upande wake wa ushabiki hauhalalishi tabia mbovu za matusi
Kwelihayo umeleta wewe tu, anamatusi kwa nyakati zote mkuu.
upande wake wa ushabiki hauhalalishi tabia mbovu za matusi
Bora. Umemeambiaref. msukuma, kibajaji na mkapa hawa unasemaje? hawana matusi " yule aliyewaita wananchi vinyago je lile sio tusi" ama kwakuwa alivaa skarf yenye rangi za bendera?
wowowo kitu gani. akili ndo kila kituOnyesha wowowo
Mambo ya maana huonekana kwa watu wa maana.....Mange anakipaji bwana.
Mbona wewe na usomi wako huo. Hatuoni la manana unalolifanya