🙂🙂Mange Kimambi Kumbe Anavutia Hivi. Daah Sema Anapenda Whites Ningemtokea.
After 26/4.....Arud nyumban tu
Emotion tumeziweka mbele na zimezuia akili kufanya kazi.....Tumefanyaje. Ukiwemo na wewe pia
Atarudi. Baada ya kukinukishaArud nyumban tu
Unamfurahia tu kimoyomoyo.Kwa lipi alilofanya labda dada mkuu wa insta
Mange anakipaji bwana.Emotion tumeziweka mbele na zimezuia akili kufanya kazi.....
Haikuhitaji kuwa msomi wa kiwango kikubwa cha ufahamu hapa nchini ili uwe mwanasiasa bali ukijua tu kucheza na emotion za Watanzania na kusoma alama za nyakati
Kamuulize siro. HihiiiiNdo nani huyo?
Ni mchepuko wake. According to [HASHTAG]#mangekimambi[/HASHTAG]Ndo nani huyo?
Wengine anawachokoza bhana..hivi kama familia ya Dai mbona sijawahi kuona wamemzungumzia?Ukimchokoza lakini
Hivi ueledi ni nini jamani tuanzie hapo kwanza...nimeshangaa kusikia anatukana kwa ueledHuyo mwanamke Ana IQ kubwa sana
Angalia hata uandish wake hata akitukana anatukana kwa ueled hata km matus mchafu
Asubiri ngosha amalize muda wake arudi nchin atoe mchango wake