Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,554
DADA la madada [emoji23][emoji23]Da mange dada ta taifa nampendaga tu kiboko yao
Bado kidogo tu tutajumuika naeUnaonaje ukienda kunywa naye chai!
Kwani mkorogo unaathiri vipi akili alizonazo.Huyo MK wako kazidisha mkorogo! Mshauri apunguze au anajiandaa kwa 26/4?
Watu Fulani naona wanachungulia tu na kukimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada wa taifa
Bado kidogo tu tutajumuika nae
mh! mgombea wetu ni EDO bwana!Aje kugombea 2020 ajipime kwa watz
[emoji23] kila mbuzi anakula kwa uwezo wa kamba akeYaani siku hizi kawameza akina Halima Mdee, Esther Bulaya na wengineo, wanachama hawaoni tena uwepo wa wanawake wapiganaji kwenye chama bali wanamuona Mange peke yake wengine wamesahaulika kabisa
AtakujaAje kugombea 2020 ajipime kwa watz
Ukimchokoza lakinisijawahi kuona/kusikia mrembo mwenye matusi kama huyu duniani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayaKila kheri