Mimi nampenda wewe je???

Mimi nampenda wewe je???

Hakuna mtu anaitwa Mange..hili ni kundi chonganishi tu kati ya wananchi na uongozi wa nchi,hata kama yupo huyu basi anatumika tu na si yeye.hili ni kundi lililoingia makubaliano na wazungu washenzi wale wasiyoitakia mema Africa na nchi yetu kwa ujumla

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mimi sijui bwana. Nampenda yeye kama yeye. Haya ya chama sijui nn siyajui,
Excuse me. [emoji23]
 
Nawaza Kama atapewa tuzo ya malkia wanguvu

Haikatai
Watakao mpa. Nahisi watafungiwa milele. Ila wanajua mchango Wake, ila ndo hivyo. Woga tu.
Hide my ID .[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ki.jpg
ki3.jpg
kim2.jpeg
Huyo MK wako kazidisha mkorogo! Mshauri apunguze au anajiandaa kwa 26/4?
Kumbe wanawake wa Tanzania wazuri sio mchezo....,kila anavyovaa yuko vivuri...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom