Mimi na ndofu basi!

Mimi na ndofu basi!

wewe chapa lapa bwana, ndofu kitu gani? kuna vitu vizuri huku zaidi ya ndofu......
Umeona eeeh sirudi tena kiukweli yan nimeamua serious utaambiwa najamaa walonizoea kuona naonja ndovu hata moja
Yan FP nimehamia kwenye sprite kabisa
 
Last edited by a moderator:
Needn't I say that. . . .your words are just good for nothing! LOL
Are good for the better Kipipi
We umeshapoteza imani kwangu eeeeh shauri yako mi nakuangalia tu naona imani imekuwa haba lol
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu naona umeingia kwenye mtego wa Erickb52? ukumbuke fupa lililomshinda fisi.........
Hahahaaaa FP unaua aisee huna hata huruma nimerudi kundini bado unaniletea fitina?
Ni wivu au nini?
 
Last edited by a moderator:
Uko ndovu ya ngapi Erickb52?

Karibu na hii ndo naigonga now
51342.png
98553.png
 
Mr Rocky mtoto wa kilokole ni bora zaidi kuliko manung'ayembe aisee lol
Mtoto mwenyewe Kipipi kwanini nisikubali kuingia kwenye chupa mwenyewe?

Erickb52 maliza kwanza kulipa deni la ndyofu ulizokopa pale mrina na umlipe na yule dada uliyemkopa kabla ya kuja kwa Kipipi mlokole japo kashaanza kukupiga sound
 
Last edited by a moderator:
Ndofu na chini vinashabihiana!
So ukianza na ndofu lazima umalize na chini . . . . . and vice versa!
Havihusiani hata kidogo kwanza mi nikionja moja tu naanza kusinzia hata hamu ya hiyo kitu haiji kabisa so inasaidia sana kuepusha pepo huyo ila wengine inahamiaga chini ila si kwa b52
 
Erickb52 maliza kwanza kulipa deni la ndyofu ulizokopa pale mrina na umlipe na yule dada uliyemkopa kabla ya kuja kwa Kipipi mlokole japo kashaanza kukupiga sound
Hahahahaaa deni lilikuwa la Filipo na Arushaone sio mimi ila ntawasaidia kulipa kama wakishindwa ingawa najua wanaweza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom