Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Nimekaa nikaangalia faida na hasara za ndofu nimegundua yafuatayo!
Faida za Ndofu:
1. Zinanipa kitambi cha kuzugia
2. Zinanipa raha kwa Muda
Hasara za Ndofu:
1. Zinanigombanisha sana na Amyner kila mara
2. Zinanifanya natoa tip kubwa kuliko Bill yenyewe
3. Nikiamka naumwa Kichwa sana na uchovu kila mahali hadi kifanyio
4. Nikinywa jumamosi then jumapili nashindwa kwenda kanisani
5. Nachelewa sana kurudi nyumbani
N.B: Huwa hazinifanyi kuwa penda penda kama manoah na Filipo
Kwa analysis hiyo nimeona faida ni chache kulinganisha na hasara hivyo natangaza rasmi kuwa Nimeachana na kunywa ndofu kuanzia sasa na nawaomba na wengine muige mfano mzuri nilioutoa kwa jamii!
Kwa hiyo ntakuwa nikitoka mihangaikoni nanyooka nyumbani kulala...kwa atakayenimiss anitafute kabla ya saa 12 jioni please mi na Ndofu basi nimehamia kwenye Fanta Orange!

Najua taarifa hizi zitawashtua Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa Rula LiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic Smiling Saint C6 na wengineo ila ndo hivyo!

Last edited by a moderator: