Arushaone unatafutwa na Blaki Womani anasema Usariver kunanini hadi unalala huko unamwacha mwenyewe na baridi hii?
Hahahahaaaa yan we ni noma lol Dah umeiongea kwa shari hadi nimecheka...
Mi sirudi nyuma nasema sitaki na sidanganyiki ng'oooo yan ndofu mwisho coz imenipunguzia perfomance sanaBwana Erickb52 nimetoka Usa River kwenye siasa na tumepiga 6-3 nikapigiwa na jamaa wa Breweries na TRA, wamenituma kwako kuwa sitisha mpango wako wa kuipa talaka NDYOFU kwani wamesema watapata hasara sana na kuna some workers they won't get salary.
Nimekaa nikaangalia faida na hasara za ndofu nimegundua yafuatayo!
Faida za Ndofu:
1. Zinanipa kitambi cha kuzugia
2. Zinanipa raha kwa Muda
Hasara za Ndofu:
1. Zinanigombanisha sana na Amyner kila mara
2. Zinanifanya natoa tip kubwa kuliko Bill yenyewe
3. Nikiamka naumwa Kichwa sana na uchovu kila mahali hadi kifanyio
4. Nikinywa jumamosi then jumapili nashindwa kwenda kanisani
5. Nachelewa sana kurudi nyumbani
N.B: Huwa hazinifanyi kuwa penda penda kama manoah na Filipo
Kwa analysis hiyo nimeona faida ni chache kulinganisha na hasara hivyo natangaza rasmi kuwa Nimeachana na kunywa ndofu kuanzia sasa na nawaomba na wengine muige mfano mzuri nilioutoa kwa jamii!
Kwa hiyo ntakuwa nikitoka mihangaikoni nanyooka nyumbani kulala...kwa atakayenimiss anitafute kabla ya saa 12 jioni please mi na Ndofu basi nimehamia kwenye Fanta Orange!
View attachment 70296
Najua taarifa hizi zitawashtua Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa Rula LiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic Smiling Saint C6 na wengineo ila ndo hivyo!
kama ameshazoea haina shida shem wangu, ila siku atakayolia you have me to deal with.......deal?Ataumiaje na yeye nishamzoesha tayari na anaenjoy sana tu wala usiwaze juu ya hilo @fp
Hahahahaaaa yan we ni noma lol Dah umeiongea kwa shari hadi nimecheka...
Ngoja Blaki Womani amsaidie kulipa coz anasema anaonyesha mahaba kwa mumewe Arushaone
Hahahahaaaaa sio mimi coz nilikuwa na kalikizo kadogo labda Paw coz alikuwa analalamika kuwa aliwahi kumvizia King'asti
Ila atarudi usijali....ila mimi na Kipipi tuache kwa usalama wako coz hata wakiandamana kuomba nikusamehe sitokubali ng'ooo ntakuacha hata siku tatu kwanza aisee lol ila nafsi itanisuta dah
Naahidi kutomliza FP niamini basi jamani!kama ameshazoea haina shida shem wangu, ila siku atakayolia you have me to deal with.......deal?
Ok sawa tumerudi Kipipi
Hivi unaamini inawezekana kuachana na pombe kabisa?