Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
- Thread starter
- #141
Kipipi ni wangu ingawa naona mmeanza kuniwekea kiwingu tu hapa we ngoja nikasirike niwarambe ban wote hadi chit-chat ibaki tupu coz sioni hata anayeniunga mkono zaidi ya Judgement ooooh hamnijui mi ndo mwenye jukwaa?Ndyofu imebatizwa upya inaitwa fanta............. Kipipi chui kavaa ngozi ya kondoo
Last edited by a moderator: