Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
Hili ni pigo kubwa sana we huelewi tu, we jiulize siku ile pale level 8 mambo yalikuwaje, unadhani bila ndofu ungeeza kuclear bili kubwa vile?...................dah! yaani we acha tuHahahahaaaaa Elizabeth Dominic unashtuka na nini?
Mbona mapadri hawanywi na hamuwashangai?
Hahahaaa kweli shetani kakutawala au ndo kusema dawa ya moto ni moto? Yan Baba V unywe ndovu then umshinde shetani?aisee arifu, unanikabidhi Ciello hivihivi eeh, j pili iko shwari huyu jamaa kaweka picha ya hiyo kitu kanihamasisha,napiga kama nne hivi za kunisaidia kupambana na shetani then naenda zangu kujilaza
my switilo, yan mepata shock hapa. ina maana next tym akija mza level 8 haitahusika???? nasikia harufu ya kuhamia pizzeria kitu ambacho hakiezekani. Erickb52 please hebu badili kauli yako ama uje mza tena ukishatoka ndo uje hapa na huo uzi!!!!!!
hakika kei yaweza mbadili shetani kuwa malaika! chezeiya kipenyo weye??? kila kheri bro!
Hahahahaaaaa hili sasa jungu....taratibu nyingine zitaendelea kama kawaida bila kujali nakunywa nini Elizabeth DominicHili ni pigo kubwa sana we huelewi tu, we jiulize siku ile pale level 8 mambo yalikuwaje, unadhani bila ndofu ungeeza kuclear bili kubwa vile?...................dah! yaani we acha tu
Hahahahaaaa ila mi sijabadilishwa na Kei nimaamuzi yangu jamani C6 ila M yangu inawabadili watu misimamo na kuachana na wapenzi wao kama alivyofanya The secretary kwa Bishangahata M inabadili mambo we acha tu
Teh Teh labda muwe mnaniwekea mchanganyo kwenye fanta Elizabeth Dominic ila charminglady ananijua nilivyoimara na misimamo yangu tangu zamani so nikisema sidanganyi ila raha zitaendelea kuliwa kama kawa....ndani ya jijiKweli vizuri havidumu shosti, huyu Erickb52 akiacha kweli mjini tutasurvive vipi, maana akishakuwa ndofu nyingi uwaga hahesabu ye anatoa tu, kweli hapa pizzeria inahusu tena sana
Kweli vizuri havidumu shosti, huyu Erickb52 akiacha kweli mjini tutasurvive vipi, maana akishakuwa ndofu nyingi uwaga hahesabu ye anatoa tu, kweli hapa pizzeria inahusu tena sana
Hahahahaaaaa hili sasa jungu....taratibu nyingine zitaendelea kama kawaida bila kujali nakunywa nini Elizabeth Dominic
Nimeacha kwa manufaa yangu tu na haitabadili mazoea yangu na ratiba zetu so tulia na tukiwa level 8 mambo yatakuwa muswanu zaidi ya mwanzo tena jiandaeni natua jijini anytime
Hahahahaaaa ila kuna wadau wataniunguzia wakiniona nagonga lol hata kama nikigonga basi ntagongea home tena ndani kabisa Mute ila kwa sasa niko serious nataka kuachana nazo coz nakuwa rough sana kwenye mambo yangu lol yan nakuwa faster kuliko kawaida dahbisha ila thread itakayofuata itakuwa na heading "naomba ushauri niambieni nitaachaje ndovu?"
hata M inabadili mambo we acha tu
Najua kwa hapo nilipobold ntasaidiwa na Blaki Womani na Preta kuthibitisha kuwa umedanganya jamii hata Mzee wa Rula anajua kinywaji chako so nakanusha na watakuja kukanusha kuwa kauli yako si kweliJamani nawahakikishieni nipo hapa Arusha Star na@Erickb52, yeye anaendelea na hiyo kinywaji anayoibeza, wakati mimi nina Konyagi ndogo!
Namshangaa mwenzangu kalewa mapema sana leo!
Tena usinisingizie C6 hao wake zako ndio walinibeba wakanipeleka nisikokujua wakanifanyisha mautamu bila ridhaa yangu hadi nkakosa ngufu sa kuamka nakashindwa kusafiri kesho yake....ila nilienjoy aisee lolama kweli duniA haiishi visa, wiki kadhaa kabla ya kufumaniwa mwanza, kambeba mama watoto wangu na Elizabeth Dominic kawapeleka Level8, leo hadithi ingine, mi nahisi haya maamuzi ya Erickb52 ni influence ya kitu ambacho hatujakijua
Hayo ndio mambo sasa, sio unaturusha roho tuuu.............maandalizi mbona yashaanza, usiwe na hofu shaka ondoa si tupo kwa ajili ya kukusaidia kutumia hiyo pesa eeh Erickb52 papaa mwenyewe, pesa ipo mingi, prezidaa wa ukwee hapana muchezo kabisa wewe ni mutu mukubwa eeh so maandalizi ipo ya kutosha.......................wapi mamaa charminglady
Hahahahaaaaaaa aisee hilo nalo neno lol yan alitoka Mtotosix hadi C6 kisa kakolea na K ya charminglady au?mh,huz hebu futa kauli yako kabla cjakulipua. wewe kilichokufanya ubadili jina, dini na kabila ni nini km co k?
Hahahaaa unanipa misifa utadhani namiliki Gold Crest lol we noma umekuwa kama kaka Judgement lolHayo ndio mambo sasa, sio unaturusha roho tuuu.............maandalizi mbona yashaanza, usiwe na hofu shaka ondoa si tupo kwa ajili ya kukusaidia kutumia hiyo pesa eeh Erickb52 papaa mwenyewe, pesa ipo mingi, prezidaa wa ukwee hapana muchezo kabisa wewe ni mutu mukubwa eeh so maandalizi ipo ya kutosha.......................wapi mamaa charminglady