Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
- Thread starter
- #81
Heheheeeee kaeni then mnipe report eeeeh charmingladynipo dia,kesho ntakutafta tukae kama kamati kwaajili ya maandalizi
Last edited by a moderator:
Heheheeeee kaeni then mnipe report eeeeh charmingladynipo dia,kesho ntakutafta tukae kama kamati kwaajili ya maandalizi
Tena naomba mwambieni na C6 asitusumbue kupigapiga simu na Nicas Mtei wake...yan waache usumbufu kabisa watu tunakula raha zetu bhana maisha mafupi na yanawezekana bila ndofuha ha ha we mmama Erickb52 kasema hamna shida, utaratibu ni ule ule yaani si kazi ni kwetu yaani power to us............shaka ondoa
ha ha ha we mmama Erickb52 kasema hamna shida, utaratibu ni ule ule yaani si kazi ni kwetu yaani power to us............shaka ondoa
Hahahaaa unanipa misifa utadhani namiliki Gold Crest lol we noma umekuwa kama kaka Judgement lol
Heheheeee mwambie karibu sana kwenye chama chetu maana kiko vizuri sana aisee lol ataenjoy sana tukama ni hvo sawa! ngoja nianze kunoa koo. . . afu kuna kifaa kipya beibe nasty must tumuongeze kwenye chama.
Judgement my shem tunaomba ruhusa yako kumchukua mkeo na kujumuika katika chama.
NOTE. Ni chama cha kusaidiana tu not otherwise!
Hahahahaaaaaaa aisee hilo nalo neno lol yan alitoka Mtotosix hadi C6 kisa kakolea na K ya charminglady au?
Dah mi sisemi neno maana naogopa ugomvi Elizabeth Dominic atawaamua
nipo dia,kesho ntakutafta tukae kama kamati kwaajili ya maandalizi
unaikataa ndofu na mambo yake yote?- Naikataaaunaikataa ndofu na mambo yake yote?
na anasa zake zote?
unaikataa ndofu mwili mzima?
unaikataa ndofu mwezi mzima?
unaikataa ndofu kuanzia miguuni mpka magotini au kichwani mpka kifuani?
nijibu kwanza maswali yangu halafu niamue kama nikuunge mkono,mguu au kichwa!
Umeona eeeeh
Hivi kuna kajamaa kalikuwa kanakuzengea umashakapiga chini?
unaikataa ndofu na mambo yake yote?- Naikataaa
na anasa zake zote?- Nazikataa
unaikataa ndofu mwili mzima?- Naikataa
unaikataa ndofu mwezi mzima?- Naikataa milele sio mwezi mzima @snowhite
unaikataa ndofu kuanzia miguuni mpka magotini au kichwani mpka kifuani?- Naikataa hadi kwenye kifanyio
Hahahahaaaa tena nakushauri haka kajamaa kanajiita manoah uachane nako kabisa hata kakikusogelea kape za uso hadi kasisome namba kabisa
Poa kikao kitafanyika Ryan's Bay.....................lol
Kaizer come kipande hii tufanye maombi!kuna mtu huku anataka kuendana kinyume na muujiza wa kwanza kabisa aliofanya Masihi ulimwenguniHahahahaaa hata iweje nimehamia kwenye Fanta Orange au passion
View attachment 70306