Mimi na ndofu basi!

Mimi na ndofu basi!

Last edited by a moderator:
Sijui nini kimenileta kwenye hii sredi isiyona tija kwenye maendeleo ya taifa.

Nasepa zangu... Karibuni Torabora kwenye biashara ya vyuma chakavu
 
hahahahha nampiga zongo.... atuachie na sisi yeye anajifanya Mswati

achana na dogo huyo Erickb52 mifuko imeishiwa anajifanya anakataa kunywa ndogu
Siku hizi yuko zake kwa mama niwekee kule unga lelo

Sijui nini kimenileta kwenye hii sredi isiyona tija kwenye maendeleo ya taifa.

Nasepa zangu... Karibuni Torabora kwenye biashara ya vyuma chakavu
Asprin umeona eehhh
hii ni kosa kubwa sana kwa mywaji kuacha na kuutangazia oumaa kuwa ameacha
hajui taifa linaingia hasara na kodi haitapatikana
 
Last edited by a moderator:
achana na dogo huyo Erickb52 mifuko imeishiwa anajifanya anakataa kunywa ndogu
Siku hizi yuko zake kwa mama niwekee kule unga lelo


Asprin umeona eehhh
hii ni kosa kubwa sana kwa mywaji kuacha na kuutangazia oumaa kuwa ameacha
hajui taifa linaingia hasara na kodi haitapatikana

Sina urafiki na wakwepa kodi muhimu kwa maendeleo ya taifa.

Mkimwona huyu dogo mwambieni hanijui, simjui. Tuachane miaka mia.
 
Last edited by a moderator:
Sina urafiki na wakwepa kodi muhimu kwa maendeleo ya taifa.

Mkimwona huyu dogo mwambieni hanijui, simjui. Tuachane miaka mia.

mkuu Asprin jamaa kapate mwanamke wa kilokole na sharti moja wapo ni kuacha pombe
hajui anapunguza mapato ya kodi kwa taifa na kuna shule itakosa madawati kabisa]
 
Last edited by a moderator:
mkuu Asprin jamaa kapate mwanamke wa kilokole na sharti moja wapo ni kuacha pombe
hajui anapunguza mapato ya kodi kwa taifa na kuna shule itakosa madawati kabisa]

Watu wengine wamelogwa vibaya asee.

Hivi unaweza acha biya kwa sababu ya mwanan'ke?

Mi nakasirikaga sana. Taifa linaangamia kwa watu kukosa uzalendo!

KUNYWA BIYA KWA MAENDELEO YA TAIFA!
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine wamelogwa vibaya asee.

Hivi unaweza acha biya kwa sababu ya mwanan'ke?

Mi nakasirikaga sana. Taifa linaangamia kwa watu kukosa uzalendo!

KUNYWA BIYA KWA MAENDELEO YA TAIFA!
Hommie hivi leo lini vilee
 
Hommie hivi leo lini vilee

Kimey za miaka nenda rudi
Upo mkuu
karibu kwenye viti virefy ila sikumbuki leo ni lini aise ngoja aje Asprin atuambie

Watu wengine wamelogwa vibaya asee.

Hivi unaweza acha biya kwa sababu ya mwanan'ke?

Mi nakasirikaga sana. Taifa linaangamia kwa watu kukosa uzalendo!

KUNYWA BIYA KWA MAENDELEO YA TAIFA!

Huyu dogo Erickb52 hajui haya mkuu Asprin yeye anajua kunywa ndofu unapoteza pesa hajui kuwa ni kwa maendeleo ya taifa
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine wamelogwa vibaya asee.

Hivi unaweza acha biya kwa sababu ya mwanan'ke?

Mi nakasirikaga sana. Taifa linaangamia kwa watu kukosa uzalendo!

KUNYWA BIYA KWA MAENDELEO YA TAIFA!

Hata wewe unaweza kuacha bia kwa ajili ya your hani pie, yeye ameweza ana nini na wewe ushindwa umekosa nini, tahadhari usinipopoe na mawe.

 
Back
Top Bottom