Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 38,077
- 109,242
Unashingapi nikutolee?Wewe ushaniwekea tinted
Unashingapi nikutolee?Wewe ushaniwekea tinted
Limeisha hilo! Kaa mkao wa kufanya kazi 😎Simple tu wape maelekezo kwangu
hapo ntajua mwenyewe
waambie nipo katoro!
Maji tena?Sogea tuuzime na maji
NdioMaji tena?
USiku ukifika JF inachangamka hadi rahaNdio
IncubusMbona watu wengi wanataman kukupiga mashine shida ni nn?
Kumbe ulivyoona maji ukajua niko idara ya maji?USiku ukifika JF inachangamka hadi raha
Kuna wengine wakitaka kuchangia mada wanatumia key search, search maji
Kuna shida kubwa ya maji jijini Dar es Salaam
Siasa tuwaachie wenyewe
Ww n kiwanja chenye mgogoro wa kifamilia, then mwanafamilia nimetulia nasema hiiiiiiiiiiiiiWivuuu tu😎
Mwenye kiwanja hana kelele! Washika pembe sasa!🫠Ww n kiwanja chenye mgogoro wa kifamilia, then mwanafamilia nimetulia nasema hiiiiiiiiiiiii
Ila wakipanda bei nzuri, mm nakuuza tuu, wanafamilia watasikia tuu imethibitishwa kwenye Simu zao then ntapambana nao wakat huo kiwanja nshauza 😎Mwenye kiwanja hana kelele! Washika pembe sasa!🫠
Tugawane hayo mafao tafadhali😂Ila wakipanda bei nzuri, mm nakuuza tuu, wanafamilia watasikia tuu imethibitishwa kwenye Simu zao then ntapambana nao wakat huo kiwanja nshauza 😎
Ngoja tusubir wanunuzi 😎Tugawane hayo mafao tafadhali😂
Unazimia wapi sasa uwapo umenifungia njeSogea tuuzime na maji
Duuuuh sio succubus?Incubus
Ila wakipanda bei nzuri, mm nakuuza tuu, wanafamilia watasikia tuu imethibitishwa kwenye Simu zao then ntapambana nao wakat huo kiwanja nshauza 😎
At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
Unazimia wapi sasa uwapo umenifungia nje
Pm siruhusiwi aki ya nani ila wanawake
😂😂😂
Namtumia wapi sasa hata lipa namba amegoma kutoaJe umejaribu kutuma na ya Kutolea na bado akakataa kufungua PM?.