adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,797
Duh !
ndo upende mtu usie mfaham?The Icebreaker ameandika kinyoofu kabi sa na kusema “Sometimes remaining silent is an effective way to handle rude people,by not reacting,you deny them the immediate emotional payoff want,let the silent speak.”
Cc: Seran
Ndio mana nikarudia kuandika alichokiandika The Icebreakerndo upende mtu usie mfaham?
JE KAMA NI NDUME
kazi ipo, kuna watu wanaforce kuwa single na huku hawawez jidhibit kihsia.Ndio mana nikarudia kuandika alichokiandika The Icebreaker
Relax kisura, mambo yao waachie wenyewe.Hivi unanitafuta nini?
Picha ya mibange😂Relax kisura, mambo yao waachie wenyewe.
Nje ya mada: Rudisha ile picha ya mwanzoni. Mzuka sana ile.
Ipe heshima yake bhana...msuba😄Picha ya mibange😂
Kabisa!!😅Ipe heshima yake bhana...msuba😄
Kabisa…kazi ipo, kuna watu wanaforce kuwa single na huku hawawez jidhibit kihsia.
MPAKA wanapenda vyakufkirika