Mimi na mke wangu Seran

Mimi na mke wangu Seran

Namtumia wapi sasa hata lipa namba amegoma kutoa

🤣🤣🤣🤣🤣

Unatuma harafu ukute kidume mwenzio😂

Usiwe na Imani haba bro.
Ukiwa muoga muoga hivi , huyu msukuma hautampata.

Napia usiogope nikikuambia sio lazima uende pm yake.
Ww si unaona kabisa kuwa Mbaga Jr ni mjomba wake.

Sasa kwann usipitishe hela kwa wajomba ili wakulainishie mtu wako. 😊😊😊😊 na pm ya mjomba iko wazi.
 
Upo sahihi mkuu, mke hawez kutoka bila kuongea vzr na wajomba 😎
 
Back
Top Bottom