Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 38,063
- 109,196
Kama vipi waache nyumbani we njoo mwenyewe😎Haha ukiwa na single maza ana watoto 5, hana mtu wa kuachia watoto unafanyaje ?
Unabeba ua na maboga yake au sio😀
Kama vipi waache nyumbani we njoo mwenyewe😎Haha ukiwa na single maza ana watoto 5, hana mtu wa kuachia watoto unafanyaje ?
Unabeba ua na maboga yake au sio😀
JmosHivi harusi lini?
Weka lipa namba hapa unafeliJmos
UhakikaWeka lipa namba hapa unafeli
Jf ni matajiri weka tu hata SHIRIMA ENTERPRISESUhakika
Aiseekwamba mie sipo hukoWanaosabahi ni teeth tu😎
Tukianza na tajiri wewe kwa mifanoJf ni matajiri weka tu hata SHIRIMA ENTERPRISES
Wewe unasabahiwa huko?Aiseekwamba mie sipo huko
😁
Mimi pesa ya kula ipo kama dola 10 kwa sikuTukianza na tajiri wewe kwa mifano
Nisababishie dola 5😀Mimi pesa ya kula ipo kama dola 10 kwa siku
Umaskini mbaya sana aiseeeWewe unasabahiwa huko?
Relax🤣Umaskini mbaya sana aiseee
😭
Wewe ushaniwekea tintedNisababishie dola 5😀
Simple tu wape maelekezo kwanguHebu nipe hiyo mbinu kwanza mjini kulala njaa uamue mwenyewe!
Sogea tuuzime na majiNinaanzaje sasa
Kukichwa moto tu
Baraka za wazee😁Apataye mke apata kitu chema. Upate binti kama huyu atulizane ndani, ni kuongeza uzao wako tu kupitia yeye. Maisha safi kabisa...