Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 38,063
- 109,196
Pm kwangu haipo imezuiliwa na mods😎Fungua pm bwana!
Pm kwangu haipo imezuiliwa na mods😎Fungua pm bwana!
We ni mnadi swala?Mhazini nipo hapa
😎We ni mnadi swala?
Hivi wasukuma tulishawakosea nini?Hivi Petty ni sawa na Pet eh? Confused na liingrish rangu ra kisukuma...
Hivi wasukuma tulishawakosea nini?
HahaWewe kwa ninavyokuheshimu utatoa laki 5😎
Haha andika Gily Gru 100,000/ -Mhazini nipo hapa
ImefikaHaha andika Gily Gru 100,000/ -
Nimetuma kwa wakala jina linakuja Lymo Enterprize
Sista wanakusakama sana sijui kwa niniHivi unanitafuta nini?
Hahhaha si unaona alipokufikisha😂Hamnaga baya kabisa namkumbuka mwalimu wangu wa ingrish tu anaitwa Maduhu
Khee mnakua hamjapika huko mtokako? Mtaingia wewe na wifi🫢Haha
Kabla sijatoa laki moja nataka nijue kama nitapewa kadi ya double kwa hiyo laki moja😀
Si unajua akina sisi huwa tunatoa laki tunakuja watano nabeba na kitoto cha jirani
Hebu nipe hiyo mbinu kwanza mjini kulala njaa uamue mwenyewe!Sista wanakusakama sana sijui kwa nini
hii fursa ntafute tupige hela
mti wenye matunda..mawe..matunda wewe ndo mafruit yenyewe!
Hahhaha si unaona alipokufikisha😂
Small smaller smallest🤣Mbali sana kwa kweli ndio nakumbuka mambo ya big, bigger na biggest😛😛
Haha ukiwa na single maza ana watoto 5, hana mtu wa kuachia watoto unafanyaje ?Khee mnakua hamjapika huko mtokako? Mtaingia wewe na wifi🫢