Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Hivi Passo ni gari? Mi nilivyokuwa naziona nikajua mende wamekuwa wakubwa sikuhizi hadi wanapita barabarani.
eleza na uhalalai wako wa kuishi hapa nchi,au mnataka kale la opereseni karudi tena!
Maskini kweli weweNinazo mbili moja yangu na nyingine ya mkewangu,sijutii kabisa na sasa tupo njombe kwaajili ya sikukuu tar mbili nageuza dms safi kabisa mafuta ziwazii kabisa full shangwe.
Maskini kweli wewe
Wenzako tunaendesha magari sio vigari njaa hivyo vya cc 640..
Hicho kipasso utakuwa umehongwa wewe. Naona umekaa kijikejikeee.We mkurwa wa rorya unakuja na vi genye vyako hapa shauriyako,umetukuta mjini na utatuacha shukuru jf inakufanya mjanja mama wewe.nakuona makalio yanakuwasha
Hicho kipasso utakuwa umehongwa wewe. Naona umekaa kijikejikeee.
Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa.
Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua haka ka Toyota Passo, kwa mimi maskini kananifaa sana, maana niliwahi kusoma topic humu kuna watu wanadharau gari eti kuna gari za kike kama Passo.
Jamani tangu lini chombo cha moto kikawa cha kike na kiume?
Nime enjoy sana safari yangu na ka Passo kangu kutoka Kahama hadi Kigali, hakali mafuta kabisa utadhani pikipiki tu, eti leo mtu uniambie kuwa Passo ni gari ya kike nitakuelewa wapi? Wabongo sisi hata sindano tu hatuwezi kutengeneza halafu mtu anakuja kudharau gari, na sikauzi ng'oo.
Nitakaa nako hadi kazeeke.
Kwani pikipiki siyo usafiri? na ni wapi nimejivuna? Passo ni gari siyo pikipiki, pikipiki ikinyesha mvua unalowa, mimi sikulowa na mvua wakati ilinyesha sana njiani, umenipata wewe?
Kanihonga mkeo,kile cha kwanza na cha pili kanihoma mamayako so mtoto uwe na adabu me babayako maku wewe
Umehongwa na maskini wenzako. Mke wangu anahonga v12. Halafu inaelekea unachapiwa wewe
Hey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!