Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
- Thread starter
- #141
whereof!!!!!!! LMFAO!
Hujui lugha ya malkia wewe, neno dogo tu whereof linakushinda kujua maana yake hadi unaliwekea interrogation marks kibao.
whereof!!!!!!! LMFAO!
Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa.
Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua haka ka Toyota Passo, kwa mimi maskini kananifaa sana, maana niliwahi kusoma topic humu kuna watu wanadharau gari eti kuna gari za kike kama Passo.
Jamani tangu lini chombo cha moto kikawa cha kike na kiume?
Nime enjoy sana safari yangu na ka Passo kangu kutoka Kahama hadi Kigali, hakali mafuta kabisa utadhani pikipiki tu, eti leo mtu uniambie kuwa Passo ni gari ya kike nitakuelewa wapi? Wabongo sisi hata sindano tu hatuwezi kutengeneza halafu mtu anakuja kudharau gari, na sikauzi ng'oo.
Nitakaa nako hadi kazeeke.
whereof!!!!!!! LMFAO!
Hujui lugha ya malkia wewe, neno dogo tu whereof linakushinda kujua maana yake hadi unaliwekea interrogation marks kibao.
It's a goof!!! What a douchebag!!
Duuu mwenyewe nlitaka kununua hako kagar ila watu wamenikatisha tamaa wanasema gar kama kiatu cha mtoto haahahaaa
being in a schanfreud state has made you more than crass.
Matajiri wote siri duniani siri yao Ni kubana matumizi ila wabongo wanajifanya wana hela sana ulaya wananunua magari kusave time bongo wananunua magari cc 10000 ili kuwanyoosha wenzao kuwa wanahela sana fuel consumption tu shida YOU FOOLISH TANZANIANS WHEN WILL YOU EVER LEARN??
I'm past of language bully!! Proud swahili speaker, even though I enjoy speaking English. You sound desperate and delusional. Im not sure you went to any notable school, you're probably a failure!! So go get some viroba, pee on your 👖 and 😴
Abraham Maslow hyrach of need.Hongera sana kiongozi
Kiuchumi tunasema unakwenda vizuri...kwa wale wanaojua "Maslow law"
Ukianzia chini ni rahisi kwenda juu...ila ukisubiri ununue gari la matanuzi...ni ile unakuta mtu kanunua gari ila kapaki nyumbani anatembea kwa miguu kwa sababu ya ughali wa gharama za uendeshaji (ameruka stage)
Au mtu ana gari ukimuomba akupitishe umbali wa km 2 tu ana lalamika mafuta...huyo ameruka stage pia...
Songa mbele na ka Passo kako....
Hii inafanana kabisa na WIVUHey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!
Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa.
Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua haka ka Toyota Passo, kwa mimi maskini kananifaa sana, maana niliwahi kusoma topic humu kuna watu wanadharau gari eti kuna gari za kike kama Passo.
Jamani tangu lini chombo cha moto kikawa cha kike na kiume?
Nime enjoy sana safari yangu na ka Passo kangu kutoka Kahama hadi Kigali, hakali mafuta kabisa utadhani pikipiki tu, eti leo mtu uniambie kuwa Passo ni gari ya kike nitakuelewa wapi? Wabongo sisi hata sindano tu hatuwezi kutengeneza halafu mtu anakuja kudharau gari, na sikauzi ng'oo.
Nitakaa nako hadi kazeeke.
[/QUOTEmi
Hivi hili pozi la kusonya kikekike na nyie midume mmelitoa wapi! unakuta dume kaandika mwishoni anaweka mfyuuuu! ndo nyie wasomi wa vyuo toka Iringa!Acha ujinga wewe! Kuendesha baby walk ni ujinga tu, kitu v6, v8,v12 ndio uanaume. Na nyie ndio mnakua hamna nidham na magari, tumia gari cc2500 au zaid uone kma hutaiheshimu, eti gari cc640 mfyuuuuu
I wish ningeona hata unafananaje kwa mchango huu!!kweli Tunadharau binadamuHey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!
Hey.... Why don't you put sugar on your small dicklet and start fucking yourself and when you finish go sleep!!!I wish ningeona hata unafananaje kwa mchango huu!!kweli Tunadharau binadamu