Mimi na Ka Passo hadi Kigali

Mimi na Ka Passo hadi Kigali

Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa,
Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua haka ka Toyota Passo, kwa mimi maskini kananifaa sana, maana niliwahi kusoma topic humu kuna watu wanadharau gari eti kuna gari za kike kama passo,
Jamani tangu lini chombo cha moto kikawa cha kike na kiume?
Nime enjoy sana safari yangu na ka passo kangu kutoka kahama hadi Kigali, hakali mafuta kabisa utadhani pikipiki tu, eti leo mtu uniambie kuwa Passo ni gari ya kike nitakuelewa wapi? wabongo sisi hata sindano tu hatuwezi kutengeneza halafu mtu anakuja kudharau gari, na sikauzi ng'oo.
Nitakaa nako hadi kazeeke.

Hongera sana kiongozi
Kiuchumi tunasema unakwenda vizuri...kwa wale wanaojua "Maslow law"
Ukianzia chini ni rahisi kwenda juu...ila ukisubiri ununue gari la matanuzi...ni ile unakuta mtu kanunua gari ila kapaki nyumbani anatembea kwa miguu kwa sababu ya ughali wa gharama za uendeshaji (ameruka stage)
Au mtu ana gari ukimuomba akupitishe umbali wa km 2 tu ana lalamika mafuta...huyo ameruka stage pia...
Songa mbele na ka Passo kako....

 
Mkuu maswali ya nini wakati sipo ktk interview? anyway ngoja nikusaidie kama hujui, kutoka Kahama hadi Kigali ni km 470,nami nilitumia masaa 8 maana sikuwa nakimbia sana kutokana na hali ya mvua kunyesha mara nyingi nikiwa safarini.

km 470? kutoka dar kwenda iringa (ni km 530) mbali kuliko kahama -kigali, kumbe kanastahili, mi nilijua ni zaid ya km 1000. kuna jamaa alinunua pikipiki aina ya sanlg, alitoka nayo toka dar mpaka mbeya ni zaidi ya km 800, alitoka dar saa kumi alfajiri, akafika mbeya saa 2 usiku. kati ya hiyo passo iliyotoka kahama -kigali km 470 na piki piki sanlg toka dar -mbeya km zaidi ya 800, nani zaidi? sijaona mantiki ya wewe kuanzisha thread humu, kuna vitz (IT) zinatoka dar kwenda congo, zambia kila siku..
 
Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa,
Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua haka ka Toyota Passo, kwa mimi maskini kananifaa sana, maana niliwahi kusoma topic humu kuna watu wanadharau gari eti kuna gari za kike kama passo,
Jamani tangu lini chombo cha moto kikawa cha kike na kiume?
Nime enjoy sana safari yangu na ka passo kangu kutoka kahama hadi Kigali, hakali mafuta kabisa utadhani pikipiki tu, eti leo mtu uniambie kuwa Passo ni gari ya kike nitakuelewa wapi? wabongo sisi hata sindano tu hatuwezi kutengeneza halafu mtu anakuja kudharau gari, na sikauzi ng'oo.
Nitakaa nako hadi kazeeke.

Hongera bro pia shukrani kwa mungu kukufikisha salama. Ukirudi usisahau kuja na mdogo wa mke wako ila ikiwa ni mnywaranda tofauti na mnywaranda kausha. Niko Kahama Majengo.
 
Tanzania ni nchi yangu ni taifa langu, kwa hiyo hata kama halina mbele wala nyuma unataka bado nitetee ujinga? wewe unaona taifa lako Tanzania lina future? ukweli lazima usemwe bila kujali eti mi ni mtanzania, ukiangalia maisha ya wanyarwanda japokuwa sote ni maskini, Rwanda ina afadhali kubwa sana, wakati ni mwaka 1994 tu hawakuwa na pa kushika.

Wana afadhari ipi wakati wamejazana kwenye kambi za wakimbizi ndani ya nchi yetu? Hivi uliwahi kusikia kuna raia wa Tanzania wanaoishi kwenye mahema ya UNHCR ndani ya nchi yoyote nje ya Tanzania?
 
upo sahihi Mkuu eti mtu baada ya kuangalia uchumi wake anaangalia gari anayotumia mtu mwingine nae amiliki mafuta shida gari hata kuzunguka sehemu muhimu anafikiri mafuta muda woote Nchi yetu yenyewe bei ya Mafuta inapangwa na wauzaji Ewura wapo picha tuu..unanunua V 8 au V 6 kutumia tu AC ni shida..

Acha ujinga wewe! Kuendesha baby walk ni ujinga tu, kitu v6, v8,v12 ndio uanaume. Na nyie ndio mnakua hamna nidham na magari, tumia gari cc2500 au zaid uone kma hutaiheshimu, eti gari cc640 mfyuuuuu
 
Body ya passo ni kama foil ya kuchomea samaki kwenye oven acha ujinga wewe kujidai na baby walk car
 
Hey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!

Hio ni kweli kabisa mkuu na kwa Ronaldo wewe ni kama demu wake tu
 
Ninazo mbili moja yangu na nyingine ya mkewangu,sijutii kabisa na sasa tupo njombe kwaajili ya sikukuu tar mbili nageuza dms safi kabisa mafuta ziwazii kabisa full shangwe.
 
Acha ujinga wewe! Kuendesha baby walk ni ujinga tu, kitu v6, v8,v12 ndio uanaume. Na nyie ndio mnakua hamna nidham na magari, tumia gari cc2500 au zaid uone kma hutaiheshimu, eti gari cc640 mfyuuuuu

...teh teh teh...akili za kimaskini bhana!
 
Body ya passo ni kama foil ya kuchomea samaki kwenye oven acha ujinga wewe kujidai na baby walk car

Mama Mike unatafuta nini humu? ndo maana nilishindwa kukuoa hivi hivi Kwa tabia zako, mwanamke una mdomo hadi kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom