Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,697
Wakuu nipo Kigali na familia yangu, nimetoka kahama ninapoishi ili kuja kula Christmas hapa.
Mimi ni kijana maskini ninayejihangaisha na ujasiriamali mdogo, nilidunduliza tu senti hadi nikanunua haka ka Toyota Passo, kwa mimi maskini kananifaa sana, maana niliwahi kusoma topic humu kuna watu wanadharau gari eti kuna gari za kike kama Passo.
Jamani tangu lini chombo cha moto kikawa cha kike na kiume?
Nime enjoy sana safari yangu na ka Passo kangu kutoka Kahama hadi Kigali, hakali mafuta kabisa utadhani pikipiki tu, eti leo mtu uniambie kuwa Passo ni gari ya kike nitakuelewa wapi? Wabongo sisi hata sindano tu hatuwezi kutengeneza halafu mtu anakuja kudharau gari, na sikauzi ng'oo.
Nitakaa nako hadi kazeeke.