Mimi na Ka Passo hadi Kigali

Mimi na Ka Passo hadi Kigali

Jihesabu upo kundi la wajinga, angalia uchumi wako na fuel consuption yake ndio utapata jibu, Watanzania wengi wanasumbuliwa na lack of exposure, Ulaya wazungu hivyo vigari ndio wanavitumia zaidi hata kama siyo Passo lakini vigari same na Passo kwa ajili ya uchumi. endeleeni kuiga maisha kwa kununuwa jini linalokamuwa mafuta utadhani Airbus

upo sahihi Mkuu eti mtu baada ya kuangalia uchumi wake anaangalia gari anayotumia mtu mwingine nae amiliki mafuta shida gari hata kuzunguka sehemu muhimu anafikiri mafuta muda woote Nchi yetu yenyewe bei ya Mafuta inapangwa na wauzaji Ewura wapo picha tuu..unanunua V 8 au V 6 kutumia tu AC ni shida..
 
unaanzisha uzi kuringishia paso???? wewe taifa lako ni lipi mkuu? wale mliochinjana kama kuku mwaka 1994? kweli mna mbele na nyuma, alafu mbona kama una hasira sana?

mi na wewe nani ana hasira? ulisoma Uzi wangu na kusema ni utumbo, nimekujibu kulikotukuka unasema nina hasira.
Halafu mimi kwenda Rwanda haina maana ni mnyarwanda, kwani wewe hujawahi kwenda nje ya nchi?
 
duh!kumbe ndo unavyoifafanua tz!!?ubarikiwe mkuu!!

Mkuu usidandie treni kwa mbele litakugonga huyo jamaa kanichokoza eti kisa nina ka passo na nipo hapa Rwanda.
Halafu uongo uko wapi mkuu? sisi ni taifa lenye raslimali zote Halafu tuna umaskini wa kishamba, utasema tuna mbele na nyuma? Hatutaki kuelezana ukweli.
 
Ulitaka point gani? huwezi kuwa na akili wakati umezaliwa ktk taifa lisilo na mbele wala nyuma, bahati mbaya zaidi unatoka familia ya makada wa ccm.

Tanzania ni nchi yako bana ipende tu japokuwa ukweli unauma kuwa haina mbele wala nyuma watu mil 48 nchi haina viwanda vya kuzalisha wala fursa wananchi wanaishije?
 
Hey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!

Umevuta bange mkuu? mtoa mada hajajitapa kuwa ana gari, amesema kuwa hiyo gari inayodharauliwa yeye anaiheshimu. hizo toilet paper unazo Ngapi mkuu? si ajabu hata kitanda huna.
 
Mkuu usidandie treni kwa mbele litakugonga huyo jamaa kanichokoza eti kisa nina ka passo na nipo hapa Rwanda.
Halafu uongo uko wapi mkuu? sisi ni taifa lenye raslimali zote Halafu tuna umaskini wa kishamba, utasema tuna mbele na nyuma? Hatutaki kuelezana ukweli.

ok!!next time nitadandia treni kwa nyuma!!!
 
niliposoma uzi wako nilihisi wewe ni mstaarabu kumbe hakuna lolote. hicho kipasso chako umekipata Tanzania, leo hii unaiita nchi isiyo na mbele wala nyuma?! kaa huko huko kwenu tuone kama hujakiuza hicho ki-passo chako. umenitibua na hicho kikauli chako mpaka basi...
JPM, mwulize JK ile operation ilicost kiasi gani. kuna uchafu ulibaki humu

Mbona mnakuwa wakali kama pilipili ?Ukweli unauma etii?
 
Mkuu usidandie treni kwa mbele litakugonga huyo jamaa kanichokoza eti kisa nina ka passo na nipo hapa Rwanda.
Halafu uongo uko wapi mkuu? sisi ni taifa lenye raslimali zote Halafu tuna umaskini wa kishamba, utasema tuna mbele na nyuma? Hatutaki kuelezana ukweli.

Wewe ni mchumi kutumia iyo gari ila nimekuona mpuuzi sana kwa kutoa hiyo kauli. Shame on you
 
mtoa mada kaja kwa id nyingine ila ni yule yule.
 
Umevuta bange mkuu? mtoa mada hajajitapa kuwa ana gari, amesema kuwa hiyo gari inayodharauliwa yeye anaiheshimu. hizo toilet paper unazo Ngapi mkuu? si ajabu hata kitanda huna.


😀😀😀👆👆 when people talk nonesense its better to talk sense into their head!! Mkuu ondoa shaka kitanda ninacho na gari ninalo mpaka leo lina km 37642. Hayo ya km 150,000 ndio hao mnaonunua used na kutulea mayoweee hapa.
 
mtoa mada kaja kwa id nyingine ila ni yule yule.

Kwa hiyo Ulitaka kusemaje? maana tupo watatu humu tunamtetea mtoa mada, nadhani kwa akili zako ndogo utasema tena kuwa jamaa ana simu tano anazitumia kwa ID Tofauti
 
Back
Top Bottom