Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,221
nawaona wanawake mnavyofarijiana, kwamba kuhonga ndio kuonesha una pesa au? huo uboya hata mimi sina
nawaona wanawake mnavyofarijiana, kwamba kuhonga ndio kuonesha una pesa au? huo uboya hata mimi sina
[emoji2960][emoji2960]Binti mapozi acha zarau zako mm napesa ya kukubadirisha totally
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ubahili ni wa kiwango Cha kiataifa khaaaaaah2020 hii na huu usawa wa Anko Magu ni bora niitwe dume boxer, Lakini kuhonga nitahonga nikiwa najua leo naenda kuitafuna papuchi yake na nitahonga kwa nidhamu ya kiwango cha TBS
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmh hata huna lol show off tyuuh nxieeeeeewMimi ndio Tajiri Mapesa mkuu,
Bas papuchi utazisikia redion tyuuuhnawaona wanawake mnavyofarijiana, kwamba kuhonga ndio kuonesha una pesa au? huo uboya hata mimi sina
Mimi papuchi nakulaga bila kuhonga mkuu
Acha wao watunze mimi nawapanda bila kutoa chochote mimi ni maneno tuRaha ya mwanamke usipo mtunza/kuhonga ww kuna wajinga/ wajanja mjini watampendezesha na kitobo mtashea wote. Hongela kwa mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
na nazila tena nzuri tu,.. tatzo ni kuchukua hizi ambazo mda wote ziko kwa smartphone na mikucha mirefu kama jinni, mikope kama shetani zeneyewe hazijui kufanya kazi Zaidi ya kudanga, kwao papuchi ni mtaji.
Hahahaaaaaaaaukigusia swala la kutowapa pesa wanakuwa wakali??
tatizo nini si 50/50
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.
Umesema vizuri bro.Mimi nampa tu kwamaana kuwa kama engekuwa anajiweza asingeomba hela hivyo ana shida na hiyo hela ndio maana anahitaji nimpe.
Kuna tofauti ya kuhonga na kusaidiana. Kuhonga ni kule kujifanya una hela hata kama mtu hajakuomba unajifanya kumwaga mihela hii ni tofauti na pale mtu anapokuwa na uhitaji akaomba kusaidiwa. Mtu yoyote mimi nampa sio manzi angu tu.
wee jamaa sijui mhaya maana unapenda kujinadiMimi ndio Tajiri Mapesa mkuu,