Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamuoa ni dhambi

Ukiwa na mademu kuanzia wawili SIO MKE/WAKE.

ukawa muhongaji...lazima uwe uchumi utetereke.
 
Kuhonga ni hulka ya kiume hata tukiwa primary tulikuwa tunahonga penseli.ila isiumize uchumi wako tu .kama unaingiza mil 10 kwa mwezi sion tatizo ukimhonga mdada laki 2 ule tunda .ila mshahara mil 1 halafu unahonga laki unazingua
.cha muhimu tafuta saiz yako mi nikiwa chuo nlikuwa natembea na manesi ukimpa 10 tu anafurahi na miuno balaa.leo nadate wadada wa mjini wenye shuhuri zao nikiwaga poa mwisho ni 300,000. Ila kwa wale permanent huna unapewa bure na hata haombi hela hao nikizishikaga hata 3m natoa kufkia mashimo
Hizi hela unawapa kabla ya kuwagonga au baada ya kumaliza kuwagonga?

Na wanakuwa wanakuomba au we mwenyewe unatoa kiroho safi?
 
Asilimia 85% ya wanawake nalala nao hawana mapenzi ya dhati na mm .pesa + gentleman huwa nivihonga kupata asali najua kuna wenye mzinga .na nahonga wa one night stand kulingana na nilivopata kama nimeingiza mil 10 Natoa 300k kama nimeingiza 1 mil natoa 50 vigezo na mashati kuzingatiwa.ila yule wa kupendana sitoi daily but napigaga matumizi yote ya huishi and handsome payment
 
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.
Najaribu kuwaza kama imewahi kumpa hela bi mkubwa au hata dada yako..!!
 
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.

Ni kweli kabisa, mwanamke hatakiwi kuhongwa anahongwa ili iweje? Wanaume wa kibongo inabidi mbadilike kwa hili mnawalemaza wanawake kwa ujinga huu mpaka wengine wameshajihisi wao ni vilema na LAZIMA waombe hela wanaume. Binafsi mwanamke akinipiga mzinga tu, namkatia line na kumgombeza kabisa kuwa anikome mimi si baba yake ni hawara tu wa kusuguana baada ya hapo kila mtu na lake.
 
Hiyo bajeti ya watoto yatima ipo pekeake.kuna bajeti ya kufungu cha bata ndo napoitoa
.mi sijawaumba yatima na wala sidaiwi kuwasaidia jukumu langu la kwanza kumuabudu mungu pili kujifurahisha mimi ndo inafata ndugu kisha jamaa kisha marafiki kisha anahitaji kisha wanadamu wote .hakuna dhambi inaitwa kutowasaidia yatima .nafanya kwa kiasi changu tu bila kugusa vifungu vingine
Una mwabudu Mungu yupi Huyo ana support uovu wa kuonga na kufanya uasherati kwa hali hii dunia hii ilipofikia sijui tu
 
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.
Umeandika nini hapa? Mara ''sio kujiongezea dhambi'' na hapo hapo ''bora nibaki na dhambi ya uzinzi''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mwabudu Mungu yupi Huyo ana support uovu wa kuonga na kufanya uasherati kwa hali hii dunia hii ilipofikia sijui tu
Mungu ni nini? Uasherati ni nn? Imefikia wapi ambapo ni kipya .usimezeshwe we kijana
 
Asilimia 85% ya wanawake nalala nao hawana mapenzi ya dhati na mm .pesa + gentleman huwa nivihonga kupata asali najua kuna wenye mzinga .na nahonga wa one night stand kulingana na nilivopata kama nimeingiza mil 10 Natoa 300k kama nimeingiza 1 mil natoa 50 vigezo na mashati kuzingatiwa.ila yule wa kupendana sitoi daily but napigaga matumizi yote ya huishi and handsome payment
Sishangai sana coz ata Mimi nishawahi pitia iyo stage ingawaje sikukaa sana na niliona ni ujinga.

Binafsi kumpa mwanamke pesa cash ili nimpate au kumpa pesa baada ya kumgonga naona kama it is an insult kwa uanaume wangu. Yaani naona inakuwa kama sijamini kama naweza kumpata bila pesa au ni kama natumia pesa kuficha mapungufu Fulani ya uanaume wangu. Mambo ya mitoko na zawadi kwa wale wanaostahili nafanya kama kawa lakini sio mambo ya kupeana cash money.

Invest in yourself mkuu, mademu watakushobokea na utawagonga mpaka utawachoka.
 
They are not that priority huo muda wa kuwa handsome sina
 
Sishangai sana coz ata Mimi nishawahi pitia iyo stage ingawaje sikukaa sana na niliona ni ujinga.

Binafsi kumpa mwanamke pesa cash ili nimpate au kumpa pesa baada ya kumgonga naona kama it is an insult kwa uanaume wangu. Yaani naona inakuwa kama sijamini kama naweza kumpata bila pesa au ni kama natumia pesa kuficha mapungufu Fulani ya uanaume wangu. Mambo ya mitoko na zawadi kwa wale wanaostahili nafanya kama kawa lakini sio mambo ya kupeana cash money.

Invest in yourself mkuu, mademu watakushobokea na utawagonga mpaka utawachoka.
Umeongea point Kali sana ,,invest in urself

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.

Kwaio mkuu kuhonga ndo dhambi kubwa kuliko kuzini? Yaan unasema ni bora ukawape watoto yatima hiyo kuliko kuhonga?? Ok na kama una mke anaekupa mahitaj yako yakimwili hao michepuko unawafata wann?? At the same time unasema unahela eeh??

Inshort ni kwamba ww huna tabia za wenye hela wala hiyo hela unayoisemea huna, kwanza una roho yakimaskini which tell me hujashika hela yaan, hivi mkuu unaijua hela kwanza????? Au nyie ndo wale vijana mnaendesha subaru mjini hatupumui?? Take a chill pill bro ww bado sanaa badilisha tu izo mboga ila usiseme una hela

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwaio mkuu kuhonga ndo dhambi kubwa kuliko kuzini? Yaan unasema ni bora ukawape watoto yatima hiyo kuliko kuhonga?? Ok na kama una mke anaekupa mahitaj yako yakimwili hao michepuko unawafata wann?? At the same time unasema unahela eeh?? Inshort ni kwamba ww huna tabia za wenye hela wala hiyo hela unayoisemea huna, kwanza una roho yakimaskini which tell me hujashika hela yaan, hivi mkuu unaijua hela kwanza????? Au nyie ndo wale vijana mnaendesha subaru mjini hatupumui?? Take a chill pill bro ww bado sanaa badilisha tu izo mboga ila usiseme una hela

Sent from my iPhone using JamiiForums
Soma hapo jina langu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom