Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamuoa ni dhambi

Kuhonga ni hulka ya kiume hata tukiwa primary tulikuwa tunahonga penseli.ila isiumize uchumi wako tu .kama unaingiza mil 10 kwa mwezi sion tatizo ukimhonga mdada laki 2 ule tunda .ila mshahara mil 1 halafu unahonga laki unazingua
.cha muhimu tafuta saiz yako mi nikiwa chuo nlikuwa natembea na manesi ukimpa 10 tu anafurahi na miuno balaa.leo nadate wadada wa mjini wenye shuhuri zao nikiwaga poa mwisho ni 300,000. Ila kwa wale permanent huna unapewa bure na hata haombi hela hao nikizishikaga hata 3m natoa kufkia mashimo
 
We jamaa unampa laki mbili ili umpande kwanini hiyo pesa usiwapelekee watoto wasiojiweza upate kubarikiwa
 
Hiyo bajeti ya watoto yatima ipo pekeake.kuna bajeti ya kufungu cha bata ndo napoitoa
.mi sijawaumba yatima na wala sidaiwi kuwasaidia jukumu langu la kwanza kumuabudu mungu pili kujifurahisha mimi ndo inafata ndugu kisha jamaa kisha marafiki kisha anahitaji kisha wanadamu wote .hakuna dhambi inaitwa kutowasaidia yatima .nafanya kwa kiasi changu tu bila kugusa vifungu vingine
 
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.
Watu wanaosema maneno haya uwa ni wahongaji wazuri. Ninaamini hakuna mwanaume asiyehonga kama hamhongi demu wake basi anahonga malaya.
Kila mwanaume lazima ana mwanamke anayemhonga wengine tena anaweza kuwa hamuhongi mwanamke anayelala naye anaenda kumhonga mwanamke ambaye ni rafiki tu
 
Mimi kumpa pesa mwanamke ambaye sijamwoa bado ni dhambi bora nisaidie watoto wasiojiweza nitapata baraka kwa Mungu na sio kujiongezea dhambi, bora nibaki na dhambi ya uzinzi.
Upo kama Mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom