Kwaio mkuu kuhonga ndo dhambi kubwa kuliko kuzini? Yaan unasema ni bora ukawape watoto yatima hiyo kuliko kuhonga?? Ok na kama una mke anaekupa mahitaj yako yakimwili hao michepuko unawafata wann?? At the same time unasema unahela eeh?? Inshort ni kwamba ww huna tabia za wenye hela wala hiyo hela unayoisemea huna, kwanza una roho yakimaskini which tell me hujashika hela yaan, hivi mkuu unaijua hela kwanza????? Au nyie ndo wale vijana mnaendesha subaru mjini hatupumui?? Take a chill pill bro ww bado sanaa badilisha tu izo mboga ila usiseme una hela
Sent from my iPhone using JamiiForums