mimi hapa ni mpya wasee wangu

mimi hapa ni mpya wasee wangu

umeingia choo cha kike i.e umeweka uzi mhali pasipo pake. Ipeleke jukwaa la utambulisho wa new members. sawa masawee
 
Mzee wa sikonge, vp unamaanisha unakaa sikonge au ndo jina lako? maana nimefurai sana kusikia sikonge maana nimefanya kaz hapo halmashauri ya sikonge
 
Tunashukuru kwa sifa ulotupatia... ila tu am curious mana jina lako na Avatar ni vitu viwili tofauti...lol... Usijali nakutania..

Karibu saana JF.
 
Back
Top Bottom