Mimba bandia zaingia nchini

Mimba bandia zaingia nchini

Akiniambia ana mimba namwambia ijia tumizi njoo tutengeneze njia ya baby sasa hapo ushaumbuka

Huji hupati hela
 
Aiseee 😂😂😂😁

Hapo maboya lazima wapigwe matukio mpaka wakome , Serikali inapaswa kuzuia huo Ujinga usiuzwe nchini kesi za mauaji zitaongezeka
 
Niletee ya miezi mitatu nile nile hela kisha niseme imetoka🤣🤣🤣.

Ila hawa wanaume wa siku hizi ukimwambia una ujauzito unakuwa kama umemnyegesha na vile inakuwa ya moto kila siku anataka papuchi. Kudakwa nje nje.
Umeshanipandisha nyege 🥰😋😋
 
Yanini kujitesa unasema tu kwa mdomo unaenda kwa nesi kabla hujasema unampa ten anakupa matokeo kuwa wewe ni mjamzito . Basi unakula kula pesa ikifika mi 4 inapotaka kuonyesha unasema imetoka basi tena siku ya hedhi yako
Mimi lazima Upime mbele yangu nihakikishe
 
Sawa tunapima kabisa ila mimi ndio naenda chooni sio wewe muda wakusoma naweka vile viwili kiakili
Uende chooni peke yako !?

Mimi lazima Upime mbele yangu na Mimi ndiye mpimaji wa kile kimrija ,
 
Uende chooni peke yako !?

Mimi lazima Upime mbele yangu na Mimi ndiye mpimaji wa kile kimrija ,
Kwani shida iko wapi tunapima hapo tunaona hakuna ila tukienda hospitali wote kuna namna tu
 
Kwahiyo mke wako akiwa hvyo haogi... Humli.. humgeuzi geuzi
...
Upumbavuuu
 
Hiyo kwa mtu mnayeonana Sio rahisi,labda awe Nchi za watu huko unalivaa unapigia picha!!
Labda hivyo , lakini hata niwe nchi za watu huo Ujinga siwezi kuu-accept
 
Back
Top Bottom