Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,310
Tumezijua mbinu zenu tayari🤣🤣🤣🤣 hebu tulieni babu.
Ni kuiba mkojo na kuupeleka maabara kimya kimya ili tujue mbivu na mbichi 😅
Tumezijua mbinu zenu tayari🤣🤣🤣🤣 hebu tulieni babu.
Mama mtu, jambo la malezi ya mimba na kuandaa mazingira ya kijacho huwa ni sensitive Kwa baadhi yetuMtu anasema ana mimba halafu anasema anahama mkoa.wewe mume WA mtu utamfata??
Sasa babu mkojo unauibaje?Tumezijua mbinu zenu tayari
Ni kuiba mkojo na kuupeleka maabara kimya kimya ili tujue mbivu na mbichi 😅
Huyu atakaye fanya hivyo ni mke au ni nani!?Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
Ina maana hautaweza kuyaona hayo mapira pira kwenye mwili wake hadi uchukue mkojo?Mtafanya tuwapige risasi tuwaue bure
Kama mnakuwa na shida na hela, bora kuomba nikutafutie kuliko hii shortcut yenu
Kwanza sichelewi kukuibia mkojo na kuukimbiza maabara wakapime kimya kimya 😅
Kama utakuwa unaishi mbali na huyo mpenzi wako, anaweza kukudanganya bila wewe kufahamu chochoteIna maana hautaweza kuyaona hayo mapira pira kwenye mwili wake hadi uchukue mkojo?
Unataka niseme mbinu zote hapa ili mzione 😅Sasa babu mkojo unauibaje?
Nipe mbwinu babu 🤣🤣Unataka niseme mbinu zote hapa ili mzione 😅
Mkojo utaibwa bila wewe kujua na majibu ya Negative utaletewa Whatsapp
Baada ya hapo, namwagiza CAG akukague ili unirudishie hela zangu zote nilizotumia kutunza hiyo mimba hewa 😎
Ninunulie Kiko basi Mjukuu, nikupe mbinu 😅Nipe mbwinu babu 🤣🤣
Nipe mbwinu kwanza🤣🤣Ninunulie Kiko basi Mjukuu, nikupe mbinu 😅
Hahaha............ngoja nikutumie hizo mbinu soon, ila angalia usipigwe risasi ya mguu bure 😜Nipe mbwinu kwanza🤣🤣
Nikamuibie mjukuu wako.
Tumekwisha!!!Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
Aaah yaani jambo dogo hilo hadi risasi jamani!!Hahaha............ngoja nikutumie hizo mbinu soon, ila angalia usipigwe risasi ya mguu bure 😜
Unajua kuna baadhi ya mimba zinatunzwa Kwa gharama kubwa sana ujueAaah yaani jambo dogo hilo hadi risasi jamani!!
Acheni ubahili ili yasiwakute hayo🤣Unajua kuna baadhi ya mimba zinatunzwa Kwa gharama kubwa sana ujue
Imagine katikati ya utunzaji wa hiyo mimba uje ujue kwamba ilikuwa hewa, utatamani kuua mtu
Hahaha............ujumbe wa Vijana huo, sisi wengine tumeshazeeka kitamboAcheni ubahili ili yasiwakute hayo🤣
Legeza masharti...Naomba ya miezi 7, nataka mtaji..... 😔