Mimba bandia zaingia nchini

Mimba bandia zaingia nchini

Mtafanya tuwapige risasi tuwaue bure

Kama mnakuwa na shida na hela, bora kuomba nikutafutie kuliko hii shortcut yenu

Kwanza sichelewi kukuibia mkojo na kuukimbiza maabara wakapime kimya kimya 😅
 
Ahaaa
Utaibaje na mtu hataki muonane
 
Niletee ya miezi mitatu nile nile hela kisha niseme imetoka🤣🤣🤣.

Ila hawa wanaume wa siku hizi ukimwambia una ujauzito unakuwa kama umemnyegesha na vile inakuwa ya moto kila siku anataka papuchi. Kudakwa nje nje.
Inakuwa tamuu au sio
 
Ahaaa
Utaibaje na mtu hataki muonane
Siwezi kuhudumia mimba bila kuwa naendea kuikuzia kuzia

Wakati huo huo wa kwenda kuikuza ndiyo wakati namwibia mkojo wake kwaajili ya vipimo vya Siri Siri

Huu mtego wa mimba fake, sisi wakongwe hatukamatiki 😅
 
Kuna watu WA long distance relationship mkuu.nadhani ndo target au waume za watu
 
Labda hao wa long distances

Ila Mimi pamoja na kwamba ni Mume wa mtu, inapotokea Kuna ishu ya hivyo na mchepuko

Hata kama nitakuwa nimebanwa na ratiba kiasi gani, lazima nije kufanya huo udukuzi

Kwa Dunia ya sasa, sichelewi kumpigia rafiki yangu Daktari wakati anaenda kumpima Yutia zenu hizo ampime na Mimba kimya kimya

Baadaye ataona nimemtumia majibu ya vipimo Whatsapp 🤗
 
Mtu anasema ana mimba halafu anasema anahama mkoa.wewe mume WA mtu utamfata??
 
Back
Top Bottom