jaluo peter
Member
- Jul 9, 2025
- 52
- 43
Alafu huko kwao hafanyi huo ujinga
Kiaje,kwamba utakataa mimba??Labda hivyo , lakini hata niwe nchi za watu huo Ujinga siwezi kuu-accept
Exactly 💯Kiaje,kwamba utakataa mimba??
Roho mbaya tu!!Exactly 💯
Roho mbaya tena Kama ninapangwa Je !?Roho mbaya tu!!
Na je kama Ni kweli?Roho mbaya tena Kama ninapangwa Je !?
Kama ni kweli nitajua tu,Na je kama Ni kweli?
Ukiwa mjinga ni hasara kubwa sanaNakumbuka kuna babu mmoja alikuwa amempangishia dada mmoja africana tulikuwa majirani by then niko form 5, huyo nawazaga mpaka leo sijui aliwezaje kudanganywa mimba hadi anti yangu anajimfungua yule dada akamwambia mbabu wake amejifungua weee yule babu alilea mtoto 😀😀😀 alikuwa akipiga simu anakuja unamuona mdada huyo mbio anakuja kuazima mtoto ili mbabu akifika amkute si anajua ni wake na mchepuko wake dah baadaye yule dada kahamia zake sinza sa sjui alimwambia mbabu mtoto kafariki, maisha haya
Babu alikuwa anafanya shopping ya mtoto analeta nguo, baby diapers yaani kila kitu cha mtoto anaishia kupewa mtoto wa aunt yule babu alikuwa mtu wa zanzibar kwaivo alikuwa anakuja mara kwa mara tu kumuona mtoto afu mdada alikuwa mdogo yaani yule alikuwa ni umri wa babu na alikuwa anamuita ivo ivo babu yaani ilikuwa ni kitukoUkiwa mjinga ni hasara kubwa sana
Mimmoja wapoBTW -- umeshawahi kusikia fununu zote kuhusu watu wenye maono !?
Mi mmoja wapoBTW -- umeshawahi kusikia fununu zote kuhusu watu wenye maono !?
MIMI WANGU CHEUSI MANGARA.Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
Lengo kuu ni nini Sasa!!?Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
We naye sitakufunza kila kitu!!Niletee ya miezi mitatu nile nile hela kisha niseme imetoka🤣🤣🤣.
Ila hawa wanaume wa siku hizi ukimwambia una ujauzito unakuwa kama umemnyegesha na vile inakuwa ya moto kila siku anataka papuchi. Kudakwa nje nje.