Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,023
- 52,494
Nikuletee ya miezi mingapi?Duuuhh
Niletee ya miezi mitatu nile nile hela kisha niseme imetoka🤣🤣🤣.Nikuletee ya miezi mingapi?
Ahaaa halafu Ile miezi mitatu ya mwanzo inakuwa Moto hatariiiNiletee ya miezi mitatu nile nile hela kisha niseme imetoka🤣🤣🤣.
Ila hawa wanaume wa siku hizi ukimwambia una ujauzito unakuwa kama umemnyegesha na vile inakuwa ya moto kila siku anataka papuchi. Kudakwa nje nje.
Nicheki PMNimemiss Sana mimba
Na ukidakwa jiandae kufaLabda kama Yuko mbali,lakini wale Wa dakika mbili kafika kudakwa nje nje!!
Unataka ya miezi mingapi mkuuNicheki PM
Naomba ya miezi 7, nataka mtaji..... 😔Haya wanawake muda WA kupiga hela huu
Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome
Kuna ya miezi mitatu
Miezi sita
Miezi Tisa etc
Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
Ni kaujinga,hivi Mwachi wewe ni mpenzi wangu,unaujua mwili wangu vizuri,Leo nikavae Hilo dude nikwambie Nina mimba?😎😎😎😎Na ukidakwa jiandae kufa
Nitakupiga nikue usijaribu kabisaNi kaujinga,hivi Mwachi wewe ni mpenzi wangu,unaujua mwili wangu vizuri,Leo nikavae Hilo dude nikwambie Nina mimba?😎😎😎😎
Naomba ya miaka 10Nikuletee ya miezi mingapi?