Milipuko yatikisa Zanzibar

Milipuko yatikisa Zanzibar

tunaitaji majibu IGP MWEMA na waziri wa mambo ya ndani ya nchi CHIKAWE,
Waziri kivuli tunataka ili jambo ulivalie njuga sana tupate majibu na hadidu a rejea ziwepo.kuna matukio mengi sana yametokea zanzibar hakuna majibu

Mwacheni Said Mwema ajilie pensheni kwa amani. IGP wa sasa unamjua au nikuambie?
 
Wewe unazungumzia Milipuko ya Zanzibar tu, vipi ya hapa kwetu Soweto katika Mkutano wa CDM na lile lililomkosa Mnyika Pale Ubungo na Polisi kusema limelipuka kwa bahati mbaya cha kujiuliza walikwendaje na Bomu katika mkutano wa CHADEMA pale Ubungo? kutokana na kutopatikana majibu juu ya matukio haya moja kwa moja nawahusisha POLISI na milipuko hii na inawezekana kabisa huwa wanafanya kwa malengo mahususi ya kuwahamisha watu kwenye mada muhimu zinazohusu mustakabari wa KITAIFA.

mabomu ya soweto.yalilipuliwa na mbowe na lema
 
Hawa zanzibar ni ishu ndogo sana,cku wakristo tukiamua tutawatafuna c mnaona afrk ya kati,wameanza naw wenyewe wanatafuta pa kuelekea!serikali imeshindwa kufwatilia mauaji ya zenji kama muungano ufilie mbali hatuutaki!
 
Hivi hawa TBC kwanini wasiwe na wanarusha habari kila baada ya saa moja. Yaani wanatafuna kodi zetu bure. Wanazidiwa hata na radio mbao.
 
Serikali watakuwa nyuma ya huu upuuzi kwa vyovyote vile.Nadhani CCM wanajaribu kutuhamisha katika mjadala wa Katiba mpya kwa kuyaelekeza mawazo yetu kwenye ugaidi.Sasa subiri magazeti ya kesho yatoke uwone yatakavyoshadadia huu upuuzi.Hawa ni Serikali ya CCM tu hawa,Hakuna cha ugaidi wala nini.
 
jamani msiwe na jazba tusubiri uchunguzi wa awali wa hili tukio maana naambiwa pia hotel ya kitalii forodhani pametokea mlipuko huenda ni mtu mmoja anahusika. toeni muda kwa vyombo vya ulinzi na usalama ili sheria iweze kufuata mkondo wake.
 
kosa la serikali kufumbia macho huu ugaidi tutakuja kufika mbali. Wasifikiri yanayotokea Afrika ya Kati hayawezi kutokea Tanzania
 
Naomba utambue nimekutukana matusi yote unayoyajua ndani ya dunia hii NYAMBAFU SANA WEWE!! watu walipoteza maisha kwa sababu ya ujinga wa CCM na Polisi wao wewe unaandika ujinga hapa.

mkuu. mabomu ya soweto yalilipuliwa na mbowe na lema
 
...... Haya matukio yanatishia amani... POLISI na WANA USALAMA WENGINE mpooooo!!?
 
wameoma dalili kwamba hoja ya serikali 3 inaenda pigwa chini. Nahisi hizo ni salamu tu. Mtaona.
 
Back
Top Bottom