Milioni 60 inatosha kuagiza range rover sport from uk..

E52

Member
Oct 31, 2010
81
0
Wakuu poleni na majukumu, nina swali kidogo hivi kwa mil 60 ninaweza kuagiza range rover sport from uk...? Nikimaanisha mpaka kulipia kodi kila kitu.....inaweza kutosha ?......nisaidieni wakuu
 

incharge

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
1,193
1,225
labda ya kupigwa maana kodi tu unazungumzia 40m, na yenyewe kununua pound 16,000 usafiri pound 1000. jumlisha agency fee, port charges and other costs , tayarisha 75 na kuendelea
 

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
1,250
kiongozi nina jamaa alinunua range rover sasa limemshinda anasema linabugia mafuta sana na yeye biashara zinayumba kama vp niwaunganishe ununua alikuwa anauza 84 lkn hata mtu wa offa hakuwahi kutokea naamini atachukua hiyo pesa kama vp tuwasiliane gari ipo hapo starchart bank
 

nolakinabo

Member
Feb 5, 2012
24
0
du iyo bei huwezi kupata mpaka liwe mkononi ni mil 90 pale bandarin wanakula fees mil 30 kwa gari kama iyo.nakushauri bora ufikirie gari ingine kama tata au volswagen au benz mbona nazo ni za pekee
 

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
0
Milioni 60 hazitoshi. Andaa kama M 95, sababu hizo gari kodi na usafirishaji wake bei ipo juu kwa madai ya jinsi ya ku-ihandle.
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,171
2,000
..., nasikia eti magari garama kama haya, ukipanda yanajiendesha, eti?
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,296
0
Wakuu poleni na majukumu, nina swali kidogo hivi kwa mil 60 ninaweza kuagiza range rover sport from uk...? Nikimaanisha mpaka kulipia kodi kila kitu.....inaweza kutosha ?......nisaidieni wakuu

Pole kaka, kama una pesa ya kutosha achana na Sport, kamata Evoque, pamoja na kuwa bei ghali lakini ni more economical kwenye upande wa wese! Last year nlikuwa na machungu sana na RR, Mdogowangu ndy aliyentia hasira na mimi nikawaza kujitutumua, akaniambia nichukue lake nikae nalo mwezi mmoja ndiyo nifanye decision, ile kitu inakunywa mafuta kama jini! 60M utapata ya mkononi lakini iko safi tu, sema tukuunganishe.
 

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,960
2,000
kiongozi nina jamaa alinunua range rover sasa limemshinda anasema linabugia mafuta sana na yeye biashara zinayumba kama vp niwaunganishe ununua alikuwa anauza 84 lkn hata mtu wa offa hakuwahi kutokea naamini atachukua hiyo pesa kama vp tuwasiliane gari ipo hapo starchart bank

Akiri nakwaminia kwa dili kubwa kubwa
 
Last edited by a moderator:

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,296
0
Cayenne unaionaje kaka? ushuru wake kidogo uko chini, na pia iko very classy and economical!
 

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,036
2,000
Labda pale bandarini wawepo kina marystella minja mzigo wa kodi ya mil 600 inatozwa mill 16
 

E52

Member
Oct 31, 2010
81
0
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu, nimeona watu wengi wananidiscourage nisichukue range rover sport, na kuna watu wawili wanayo wameniambia kwamba yana matatizo kwenye brake system na air suspension,,,sasa nimeona wakati nakokotoa mambo nivute land cruiser vx 2003 amazon, diesel, yenyewe bei yake na usafiri ni paundi 8000....sasa sijui kodi itaendaje roughly ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom