Milioni 60 inatosha kuagiza range rover sport from uk..

Pole kaka, kama una pesa ya kutosha achana na Sport, kamata Evoque, pamoja na kuwa bei ghali lakini ni more economical kwenye upande wa wese! Last year nlikuwa na machungu sana na RR, Mdogowangu ndy aliyentia hasira na mimi nikawaza kujitutumua, akaniambia nichukue lake nikae nalo mwezi mmoja ndiyo nifanye decision, ile kitu inakunywa mafuta kama jini! 60M utapata ya mkononi lakini iko safi tu, sema tukuunganishe.

Evoque is the future of RR, and all SUVs, what with carbon emissions and the energy crisis.

You are talking about the difference between a 2300cc engine ( Evoque) and probably 5000cc for most other late model RRs.

If you don't need the big engine, e.g you live in a city, even if you can afford the cost, it is irresponsible from an environmental point of view to go with the behemoth of 5000cc.

We had a Vogue 4000cc in the 90s, and I can testify the fuel efficiency was a headache not worth the prestige.

I am leaning towards an Evoque myself.
 
Range Rover Vogue nipe Hela mil5 kamisheni nikuunganishie kwa mzungu kwa mil 65.

Range Rover.JPG
 
Chukua vx Kaka..kwa hela io bora gari za Japan kuliko io sport CD itakusumbua mafuta n spare
 
Evoque is the future of RR, and all SUVs, what with carbon emissions and the energy crisis.

You are talking about the difference between a 2300cc engine ( Evoque) and probably 5000cc for most other late model RRs.

If you don't need the big engine, e.g you live in a city, even if you can afford the cost, it is irresponsible from an environmental point of view to go with the behemoth of 5000cc.

We had a Vogue 4000cc in the 90s, and I can testify the fuel efficiency was a headache not worth the prestige.

I am leaning towards an Evoque myself.
Wabongo bana... Ivi iweje mtu uwe na ela ya kununua Vogue (say 60M) halafu uanze kufikiria wese? Hizo ela lazima zitakuwa za wizi otherwise hilo jambo practicaly haliwezekani
 
Duuh.. Mie wala cna ushauri Mkuu labda ungetaka kujua pikipiki gani za mchina kati ya Sanlg na beta ipi afadhali kidogo..
 
nitapm mimi nikuletee hiyo gari unayoitaka kwa hiyo hela! niko namibia ninafanya biashara ya kuagiza magari UK! gari ikipitia huku kupita nayo boda tunduma utalipa ushuru mdogo tu! tuwasiliaane kwa e-mail kama uko serious: lyakudn72@hotmail.com
 
Wabongo bana... Ivi iweje mtu uwe na ela ya kununua Vogue (say 60M) halafu uanze kufikiria wese? Hizo ela lazima zitakuwa za wizi otherwise hilo jambo practicaly haliwezekani

mkuu chenge......sihofu kuhusu mafuta hata ingekuwa lita moja inaenda kilometa 3 mkuu......nimekuja jamvini nipate maoni kama kwa 60 nitaweza kupata mzigo from uk.....spare najua zipo nyingi tu.....ila ikishindikana nitaanzia hata na ka vx amazon
 
Wabongo bana... Ivi iweje mtu uwe na ela ya kununua Vogue (say 60M) halafu uanze kufikiria wese? Hizo ela lazima zitakuwa za wizi otherwise hilo jambo practicaly haliwezekani

Swala la wese si swala la hela tu. Kuna watu wako environmentally conscious enough kiasi cha kuweza kumudu kununua mafuta lakini kujua kwamba gari fulani si environmentally friendly.

Ndiyo maana nikaandika

... even if you can afford the cost, it is irresponsible from an environmental point of view to go with the behemoth of 5000cc.
 
Wabongo bana... Ivi iweje mtu uwe na ela ya kununua Vogue (say 60M) halafu uanze kufikiria wese? Hizo ela lazima zitakuwa za wizi otherwise hilo jambo practicaly haliwezekani

Una Mtazamo Sawa Na wangu kabisa, Nimesoma Comment ZOTE Nimegundua kuwa waTanzania Wana MASHAUZI Sana, Kumbe kuna watu wana Range halafu wanafikiria bei ya Ewura?? Ukishakuwa Vizuri Hutakiwi Kuanza kufikiria vitu kama mafuta Spare nk... Kuna siku Niliona Pale Morocco (Total) Jamaa Anaendesha Escalade Nyeupe, halaf akaweka mafuta ya Elf 20... Nilicheka mpaka mbavu zikauma... Hiyo ni Insult kabisa kwa maisha yake binafsi....Kuna siku tena niliona Jamaa anaendesha X6 tena hata namba bado za uk (09Plate) halafu akafungua kioo kwenye mataa ananunua LESO kwa Mmachinga... Nikasema Wenye hela za kubahatisha Utawajua tu....Ukishakuwa na Fungu la Kuwasha Hizo Engine, Make Sure Hulalamikii Cost of Fuel... We ni Kufika Na Kujaza tank.. Yakiisha kesho, unajaza tena... thats How its supposed to be. Habari za Ewura Tuachie sisi wenye Vinissan March nk... Kama Huwezi Bora tu Hizo 60m Zako Uziinvest mpaka pale utakapokuwa stable kupush hizo Mavitu aisee...
 
Ni kweli wabongo tunatatizo hilo, improper utilization of resources! lakini pia kipenda roho kaka, anayejua uchungu au raha ni yule anayeliendesha mwingine wa pembeni yatawaumiza kichwa. Hata hiyo vitz unayoendesha huenda hauitendei haki kuiwekea kiwese cha elf10, ni heri uendeshe pikipiki, na pikipiki kama unaweka kiwese cha elf5 bora ununue baiskeli!
Wacha watu wajipe raha kaka, kama wewe unamezea mate lakini uwezzo wa kuliingiza bongo unakuwa mgumu ni bora ukae kiiimya!
 
Wabongo wengine tumezidi kuchunguzana. Mtu humjui, huijui hiyo gari yake ina engine gani au anafanya ma experiment gani, ushampangia mafuta ya kuweka.

Do you, unaweza kushangaa mtu hajaweka mafuta ya kutosha kumbe wewe ndo hujaweka akili ya kutosha.

Halafu tunarudi kulekule kwenye simplification ya kwamba ukiwa na hela mafuta si issue, smart is the new rich, kuna wengine wanataka gari lenye fuel efficiency kupunguza stops za kujaza mafuta tu, wengine wanajali mazingira maana kila wanaposoma dunia inapoenda ndo wanapojisikia responsibility kuwa custodians of the earth etc.

Kuna mitaa mingine ya ma tree huggers ukienda na mgari wako wa ajabu ajabu sijui m-Hummer huko watu wanali spraypaint au kuliscratch kwa hasira zao.

Sie tumekalia simplifications ya "kila kitu jibu lake pesa" wakati kuna mabilionea wanazima taa kila wanapotoka chumbani si kwa sababu hawawezi kulipa bili ya umeme wakiacha taa, bali kwa sababu wanajali mazingira.
 
Kwa bei hiyo unapata mkuu ila kama unaweza jitahidi hata ufike kwenye 67mil hivi, maana ukipata used na ukabargain na seller hata kwa $35,000 unapata na usafiri wake na jaai inspection ni kama $3000, then uje kupambana hapa bongo..........lakini kwa ushauri wa upande wapili kama unaweza fungua website ya serikali kuna nchi wameingia nazo mkataba kwamba ukilipa ushuru huko uliponunulia hapa bongo hauji kulipa mara ya pili nadhani uturuki na saudia zipo
 
Wabongo wengine tumezidi kuchunguzana. Mtu humjui, huijui hiyo gari yake ina engine gani au anafanya ma experiment gani, ushampangia mafuta ya kuweka.

Do you, unaweza kushangaa mtu hajaweka mafuta ya kutosha kumbe wewe ndo hujaweka akili ya kutosha.

Halafu tunarudi kulekule kwenye simplification ya kwamba ukiwa na hela mafuta si issue, smart is the new rich, kuna wengine wanataka gari lenye fuel efficiency kupunguza stops za kujaza mafuta tu, wengine wanajali mazingira maana kila wanaposoma dunia inapoenda ndo wanapojisikia responsibility kuwa custodians of the earth etc.

Kuna mitaa mingine ya ma tree huggers ukienda na mgari wako wa ajabu ajabu sijui m-Hummer huko watu wanali praypaint au kuliscratch kwa hasira zao.

Sie tumekalia simplifications ya "kila kitu jibu lake pesa" wakati kuna mabilionea wanazima taa kila wanapotoka chumbani si kwa sababu hawawezi kulipa bili ya umeme wakiacha taa, bali kwa sababu wanajali mazingira.

Well said Mkuu, watu wana muda wa kuchungulia mtu anaweka mafuta ya bei gani!!! Hajui mtu anahesabu gani, huenda hata gari ina mafuta mengi tu anaongeza tu! Hizo ni roho za kwanini!
 
Mtu anaweza kuwa kapewa gari aende nalo safari ndogo tu, anataka kurudisha mafuta yale anayotumia tu ili arudishe gari na mafuta yale yale yaliyokuwamo mwanzo.

Wanaokurupuka ku judge tayari washam judge kalosti!
 
Bado tu hujai-cop hiyo whip? Mi nilidhani tayari kila kitu na title in your name and eveything....:confused2:

You know the thing about buying outright is you have to not only kukichanga, but mind other title deeeds too. And if it's not a priority there is always something coming up.

The truth is I don't need it, no justification whatsoever apart from sheer vanity.

Halafu I am smart enough not to buy such depreciating assets brand new. And the dilemma is, the new models are rolling out now. And I might as well choose to go with a Cayenne, should an equally environmentally friendly appear, just so when I pull up at an event (not that I usually do) I am not sticking out as a sore thumb printed "Kiranga".

And oh yeah, that Posh commissioning is def not to my taste.

May end up buying one for a lucky girl, this way I have access to it but I don't have it :)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom