Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

938d1aed1792150ae29b0f046fe96d15.jpg
 
6c853927374232f85287052d60e62b1d.jpg

Hii ni site yetu nyingine ipo Buswelu Mwanza maeneo ya mbogamboga
Hapa tunajenga nyumba ya Vyumba viwili
Masta zote mbili
Sebule
Dining
Store
Jiko la kisasa
Public toilet

Materia
Bati msauz mgongo mpana
Tofali block
Msingi nchi sita
Ukuta nchi 4
Gypsum board
Madirisha aluminum grade2
Tiles franch, Spain grade two ukitaka China tunakuwekea grade one
Vifaa vya maji mabomba masinki tunaweka vya uturuki
Tunakufanyia ujenzi na kukuwekea mfumo wa maji pamoja na wiring ya nyumba
Garama kwa nyumba hii ni mil 32
WhatsApp 0763772636
One2one focus limited Nyumba yako Maisha yako Tunajenga Tanzania nzima mpaka Zanzibar karibuni san
 
Kama mtu amesha anza msingi wa kawaida. Je mnaweza kuendelea na ujenz wa ghorofa 1?
 
Kama mtu amesha anza msingi wa kawaida. Je mnaweza kuendelea na ujenz wa ghorofa 1?
Ndio tunaweza kuendelea tutakachofanya ni kupiga hesabu yaan cost Evaluation kuanzia ulipo ishia hadi kumalizia mjengo kulingana na Ramani yako karibu sana
 
Mill 32 tusidanganyane apa
Mkuu usiwe tomaso , Nenda Ofisini kwao kajihakikishie, tapeli hawezi kuwa muwazi kama huyu jamaa, ujue jamaa kama ana import materials mwenyewe anawrza kutract faida yake kubwa kwenye mauzo ya materials,ni Hii pengine ndio strategy yake, ni kama vile unavyonunua Maji ya chupa, kimsingi muuzaji anauza chupa na sio Maji.
 
Tupo Buzuruga Plaza bosi nakuomba uni WhatsApp/ au call 0763772636 karibu sana kiongoz
Nina boma ambalo limekamilika,bado kuezeka na kufanya finishing,nikiwapa kazi ya kuimalizia,mnaweza mkahitaji niwalipe sh ngapi kila mwezi?
 
Nina boma ambalo limekamilika,bado kuezeka na kufanya finishing,nikiwapa kazi ya kuimalizia,mnaweza mkahitaji niwalipe sh ngapi kila mwezi?
Sijakuelewa unataka tukufanyie finishing halafu wewe ndo utulipe kila mwenz?
Kama jibu ni ndio utaratibu wetu upo ivi
Tunafanya site visiting kwanza tutafanya cost estimation ya Jengo lako hadi kumalizia
Then if garama ni let's say mil 20 utalipa 10m deposit sisi tutaanza kazi then hiyo 10m iliyobakia utakuwa unalipa kidogo kidogo wakati sisi tukiendelea na ujenz wako
Baada ya hapo tutakukabidhi Jengo lako kwa Muda tulivokubaliana
 
f615bb0461b9a9baf8f16bb701b1bbd9.jpg
51ef1a6be7a98200b317b13a95e17bd3.jpg

Hizi ni sample za michoro Nyumba ya Room tatu zote self
Jiko la kisasa
Choo cha public
Store
Sebule
Dining
Garama kila kitu kwa material za kisasa kabisa mil 54
 
066747f89c587a7cc2fe33ce4e2e7b3e.jpg
2034c3172d844684342ac51ff9f845a3.jpg

Site yetu mpya tumeanza kuijenga wiki hii ipo Arusha Moshono kiserian
Ni project ya Nyumba ya Vyumba vitatu vyote masta, jiko la kisasa, sebule, dining, store, studying room, na public toilet
Material tunazotumia
Bati msauz mgongo mpana
Tofali za block
Msingi nchi 6
Ukuta nchi 4
Tutaweka madirisha ya aluminum grade two
Gypsum body
Tiles nyumba nzima franch, Spain au China kulingana na pendekezo la mteja
Vifaa vya bomba masinki nk tunatumia vya uturuki
Garama ya ujenzi wa hii nyumba tunayoianza ni mil 54 tu
Tunafanya kazi Tanzania nzima mpaka visiwani nitaendelea ku update project za wateja wetu hapa ili muzione kazi zetu
Mkuu munanipa hamasa ya kuitafuta shekeli usiku na mchana ili niwatafute, mungu akininyooshea njia nitawatafuta mkuu.
 
What a wonderful thread! Bora mfumo huu kuliko kusumbuana na mafundi. Hongera.. Nitakutafuta karibuni mkuu
Kweli asee, mana mafundi kwa kuiba sementi !! hatar sana.., hawa jamaa watatusaidia sana ikiwemo na kutoa ajira kwa vijana.
 
Kweli asee, mana mafundi kwa kuiba sementi !! hatar sana.., hawa jamaa watatusaidia sana ikiwemo na kutoa ajira kwa vijana.
Karibu sana Ajira zitakuwepo soon maana tunafungua Tawi letu jipya yalipo hamia makao makuu Dodoma soon
Karibun sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom