Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Mill 32 tusidanganyane apa
POle sana ndugu yangu maana sio mimi Nina kudanganya Bali ni wewe unaejidanganya mil 32 inatosha kabisa kukujengea nyumba ya Vyumba viwil sebule jiko store choo cha public na dining room
Kiwanja ni juu ya mteja material kila kitu ni juu yetu na tunatumia the best material Mfano bati za msauz, tiles China grade one au spaini,Italy, or Japan grade two choice is urs
Zaidi ya yote tutakuchorea Ramani bure kabisa na kukuandalia BOQ bure kabisa
 
Leta mahesabu apa blah blah za nini! Weka BOQ tuone.Labda km mabanda ya kuku sio nyumba be careful
 
Leta mahesabu apa blah blah za nini! Weka BOQ tuone.Labda km mabanda ya kuku sio nyumba be careful
Hahaha hivi unajua dhamani ya BOQ boss kama kwel wewe ni serious client njoo ofisini tuambie unataka nyumba ya dhamn gani? Na Ramani gani material gani? Baada ya kupata haya majibu kutoka kwako ndio unaandaliwa BOQ so elewa hii kitu sio ya kuandika bila hesabu na kila nyumba ina BOQ yake kutokana na Raman yake
 
d2645ea592434ea95c4998d89e6d1a8f.jpg
sehemu ya kazi zetu
 
Daa kaka nimeipenda sana hii threat yako, hakika ni ubunifu wa hali ya juu na kama kweli mtakuwa waaminifu kwa hakika mtapata wateja wa kutosha.
Ila nikuulize huna group la Whatsup?
Asante kiongoz karibu tuijenge nchi ya viwanda
 
Nyumba hiyo ya32 m inafananaje
f1298a851c90d7792d7959f77d397790.jpg
9b2bfe5b48c13a5dcf0f6c906a29321b.jpg

Ukubwa kama huu ila hii bado haijamaliziwa as umeona bati tulizoezekea, tunatumia pia tiles frach grade two au China grade one kulingana na Demand ya mteja
Tunatumia gypsum hii ikikamilika nitaipiga picha nje na ndani
Uione vema
 
Umeme tunakufanyia wiring kila kitu ila mambo ya ununuzi wa nguzo ilo swala litamuhusu mteja maana hesabu tutakazokupigia tutakupa mchanganuo wake A to Z
Pili kuhusu maji sisi tunakuwekea system yote ya maji kila kitu wewe mteja ni wajibu wako sasa kutuma maombi Dawasco/mowasco extra wakufungie maji so sisi tutaishia kwenye kufunga system yote ya maji
nami nlitaka kuuliza swali kama hilo kaka
 
Back
Top Bottom