Site yetu mpya tumeanza kuijenga wiki hii ipo Arusha Moshono kiserian
Ni project ya Nyumba ya Vyumba vitatu vyote masta, jiko la kisasa, sebule, dining, store, studying room, na public toilet
Material tunazotumia
Bati msauz mgongo mpana
Tofali za block
Msingi nchi 6
Ukuta nchi 4
Tutaweka madirisha ya aluminum grade two
Gypsum body
Tiles nyumba nzima franch, Spain au China kulingana na pendekezo la mteja
Vifaa vya bomba masinki nk tunatumia vya uturuki
Garama ya ujenzi wa hii nyumba tunayoianza ni mil 54 tu
Tunafanya kazi Tanzania nzima mpaka visiwani nitaendelea ku update project za wateja wetu hapa ili muzione kazi zetu