pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
- Thread starter
- #181
Kama utajenga na sisi Ramani ni bure kabisa ila kama utahitaji ramani ukajenge kwingine tutaelewana tuNikitaka hiyo ramani ya vyumba vi 5 kiasi gani?
Kama utajenga na sisi Ramani ni bure kabisa ila kama utahitaji ramani ukajenge kwingine tutaelewana tuNikitaka hiyo ramani ya vyumba vi 5 kiasi gani?
project yetu inayoendelea kwa sasa![]()
Ndio kaka nyumba zetu zote tunajenga hivi ndo maana tutakupa warant ya miaka mitatu kwa chochote kitakachoharibika ni juu yetuNa hizo nyumba za million 32 chini mnaweka raft(Jamvi) kama hivi.?
Yes aweke nyumba halisi sio hiyo computerised tunataka tuone uhalisia haswaaaKwa faida ya wengi, jitahidi utuwekee picha ya hiyo mliyojenga kwa mil32 huko Kibada.
Sababu hizo picha ulizoweka sio actual ila ni plan.
Yes na alishaweka pia, pitia pitia utaziona Mkuu.Yes aweke nyumba halisi sio hiyo computerised tunataka tuone uhalisia haswaaa
Nilishaweka picha nyingi za halisi bossYes aweke nyumba halisi sio hiyo computerised tunataka tuone uhalisia haswaaa
OK.hii sio ya kukosaNilishaweka picha nyingi za halisi boss![]()
![]()
![]()
Nyingine bado zinaendelea kujengwa zilizomaliziwa nimeweka nyingi tu
Miezi mitatu, sita hadi mwaka kulingana na makubaliano yetuWeka picha ya iyo ya mil 32 afu vp mtu akilipa iyo nusu iyo nyingne yenye 8% inatakiwa baada ya muda gani
Ndio kiongoz tupo Arusha Namvua Plaza floor ya nnepettymarcel hii ni fursa nzuri sana kwangu, nitawatafuta baada ya muda kidogo tu (si mko pia Arusha?)
Asante na karibu sana bossWhat a wonderful thread! Bora mfumo huu kuliko kusumbuana na mafundi. Hongera.. Nitakutafuta karibuni mkuu
Nilishaweka nyingi tu mkuuWeka picha ya iyo ya mil 32 afu vp mtu akilipa iyo nusu iyo nyingne yenye 8% inatakiwa baada ya muda gani