Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

51300e4d209419401d3ae8a9a1e0604f.jpg
Hii ndio bei gani?
 
Kweli asee, mana mafundi kwa kuiba sementi !! hatar sana.., hawa jamaa watatusaidia sana ikiwemo na kutoa ajira kwa vijana.
Karibu sana mlakon tukujengee with minimum cost with quality Materials usimamizi juu yetu wewe kazi yako ni kupokea nyumba iliyopo tayar
 
Jamani hiyo nyumba ni ya 32mln kweli au kiini macho?
Hakuna kiini macho nyumba ni kweli na wengine humu ndani wameshajengewa na wewe kama una muda waweza kuja kutembelea project zetu ili ujiridhishe
 
Hata kama una nyumba yako ungependa tukufanyie Renovation, kama una Nyumba yako haijamaliziwa na ungependa tukusaidie kumalizia karibu tuyajenge WhatsApp 0763772636
Rennovation mnaweza fanya kwa bei gani? Nipe estimates za nyumba ya vyumba vitatu ikiwa nitataka mfumue paa lote apigwe msauzi,gypsum pamoja na kumwaga tiles ndani plus alluminium windows?
 
Unajua maneno uumba mkuu so ukijinenea wewe ni kapuku utakuwa kapuku mwanzo mwisho so usijinenee maneno mabaya


Ilaa kwa mazingira ya sasa napita mbali mkuu,ila ni kujipanga baadae na mimi nichangie kwenye mada kama hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom