Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

Mnatumia picha ya nyumba za 74M, mnatangaza ya nyumba ya 32M. Matapeli wakubwa!
Acha Tindikali hizo nimesema ni nyumba tulizojenga samples of our projects so kuna za mil 32, 54, 74 na kuendelea so hakuna picha ya nyumba ya mil 74 niliyokuonyesha na kusema tumejenga kwa mil 32 by the way usiwe mvivu wa kusoma ukipitia huu uzi utaona kila nyumba tuliojenga nimeweka ufafanuzi from material ukubwa hadi bei
 
ad17e4cb1c1ae203265723ced34b8078.jpg
1cf94de6bced5e2c9438fe0fd5c141f3.jpg


Hii ni Nyumba ya Four bedrooms tumejenga kwa mil 74 tu


Hiki kijumba mil 74.

Cha mil 32 kitakuwaje?

Weka picha
 


Hiki kijumba mil 74.

Cha mil 32 kitakuwaje?

Weka picha
Hiki kijumba hizo ni dharau mkuu kama wewe unaona hicho ni kijumba sisi tunaona hiyo ni nyumba endelea kupitia kwenye post utakutana na ya mil 32 kama ulivokutana na hiki cha mil 74
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/7df72c6000787ad76820fb1e2d02623b.jpg[/IMG
Sebule ikiwa imeunganishwa na dining
 
Back
Top Bottom