Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habari wakuu sisi www.one2onefocus.com tunahusika na ujenzi wa garama nafuu kabisa kwa shil mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwil sebule dining public toilet na jiko la kisasa tunatumoa material quality na zinazoenda na wakati kabisa

Faida utakazozipata ukijenga na sisi ni kama zifuatazo
1. Kama mteja hana ramani sisi kama kampuni tutamchorea bure kabisa bila malipo ya ziada
2. Unaweza kulipa 50% ya garama husika halafu nyingine ukalipa kidogo kidogo bila riba yoyote hadi nyumba yako inakamilika
3. Unaweza kulipa 50% ya garama halafu tukakujengea nyumba tutakukabidhi halafu 50% iliyobakia ukatulipa kidogo kidogo pamoja na riba ya 8% ya Deni lako ila hapa tunaweza kukuruhusu kuhamia kwenye nyumba yako huku ukiendelea kutulipa taratibu kulingana na makubaliano yetu
4. Nyumba yako itakuwa chini ya uangalizi wa one2onefocus limited kwa zaidi ya miaka mitatu chochote kitakachoharibika tutagaramia sisi bure kabisa bila garama zingine za ziada
5.Tutakuchorea Ramani bure kabisa bila garama ya ziada
6. Tutakuandalia BOQ bure kabisa
Tutasaini mikataba mbele ya mwanasheria wako na mwanasheria wa kampuni kabla ya ujenzi na baada ya ujenzi tutasaini mikataba ya makabidhiano ya nyumba mbele ya hao wanasheria wa pande zote mbili
Karibuni sana
Ofisi zetu zipo sehemu zifuatazo

Dar ( makao makuu)
Makumbusho complex
Floor ya kwanza

Mwanza
Buzuruga Plaza
Mtaa wa Buzuruga

Arusha
Namvua Plaza
Gorofa ya nne
Kwa mawasiliano maswal maoni
WhatsApp 0763772636
Call 0789047874
Email pettymichael92@gmail. Com

Nyumba yako Maisha yako karibun sana
1ce0fee52df3b972248ab9f63ec35494.jpg

Hiyo ni project yetu ambayo tupo kwenye hatua ya mwisho ya kukabidhi hiyo ni nyumba ya Vyumba vinne, masta moja, vya kawaida vitatu, jiko la kisasa, store, dining, sebule na public toilet nyumba kama hiyo ni ya mil 74 kila kitu juu yetu kasoro kiwanja tu ndio cha mteja
NB Tunajenga majengo ya aina zote, magorofa , makanisa, misikiti, kumbi za harusi, hotel, hospital, zahanati nk
Zaidi ya yote tunafanya Renovation ya majengo pia finishing kwa majengo ambayo hayajamaliziwa
Karibun sana tunafanya popote Tz
 
Habari wakuu sisi www.one2onefocus.com tunahusika na ujenzi wa garama nafuu kabisa kwa shil mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwil sebule dining public toilet na jiko la kisasa tunatumoa material quality na zinazoenda na wakati kabisa

Faida utakazozipata ukijenga na sisi ni kama zifuatazo
1. Kama mteja hana ramani sisi kama kampuni tutamchorea bure kabisa bila malipo ya ziada
2. Unaweza kulipa 50% ya garama husika halafu nyingine ukalipa kidogo kidogo bila riba yoyote hadi nyumba yako inakamilika
3. Unaweza kulipa 50% ya garama halafu tukakujengea nyumba tutakukabidhi halafu 50% iliyobakia ukatulipa kidogo kidogo pamoja na riba ya 8% ya Deni lako ila hapa tunaweza kukuruhusu kuhamia kwenye nyumba yako huku ukiendelea kutulipa taratibu kulingana na makubaliano yetu
4. Nyumba yako itakuwa chini ya uangalizi wa one2onefocus limited kwa zaidi ya miaka mitatu chochote kitakachoharibika tutagaramia sisi bure kabisa bila garama zingine za ziada

Ofisi zetu zipo sehemu zifuatazo

Dar ( makao makuu)
Makumbusho complex
Floor ya kwanza

Mwanza
Buzuruga Plaza
Mtaa wa Buzuruga

Arusha
Namvua Plaza
Gorofa ya nne
Kwa mawasiliano maswal maoni
WhatsApp 0763772636
Call 0789047874
Email pettymichael92@gmail. Com

Nyumba yako Maisha yako karibun sana
e41eb14621434ef46a5647e133a5c8d4.jpg
ea6ec7c9b0464ef81cf3db50a6713afe.jpg
019549a4ca24213dd8b50898f9c79f5c.jpg
335f5ea79c9f8df3516ec4d565872fb8.jpg
 
Mkuu mimi ninakiwanja changu..ninataka kujengewa nyumba ya million 32..lakini hela sina ila nina gari yenye thamani kupitiliza hiyo pesa 32m..na haijatumika..je mnakubali kuichukua gari halafu mkanijengea hiyo nyumba? Asante
 
Nyumba ya milioni 32 inakuwa ya ukubwa gani mkuu? Hebu tupe details za kutosha hasa idadi ya vyumba na ukubwa wake na pia kama mnafanyakazi hata mikoani maana hali iliyopo sasa mifukoni nadhani nyie ndiyo mtakuwa kimbilio langu.
 
Inachukua muda gani kumuliza kujenga, mkipewa kazi?
Miezi miwil tutakukabidhi nyumba yako ikiwa na ubora wa hali ya juu zaidi ya yote itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka kadhaa so chochote kitakachoharibika ni wajibu wetu kurekebisha bila malipo yoyote ya ziada karibu WhatsApp 0763772636
 
Mkuu mimi ninakiwanja changu..ninataka kujengewa nyumba ya million 32..lakini hela sina ila nina gari yenye thamani kupitiliza hiyo pesa 32m..na haijatumika..je mnakubali kuichukua gari halafu mkanijengea hiyo nyumba? Asante
Nichek kwa 0763772636 WhatsApp kama upo serious
 
Mbona unaji changanya,number 2 , unavutia wateja kwa kusema unalipa kidogo kidogo bila riba,3 unachomekea riba ya 8%
Anyway wazo zuri lakini
Hujaelewa kaka naomba nikueleweshe kidogo ni kwamba wakati sisi tunaendelea kukujengea wewe unaweza kutulipa kidogo kidogo bila riba yeyote
Endapo kama utashindwa kumaliza kiasi cha pesa kinachohitajika sisi tukaingia mfukon kwetu tukamalizia nyumba tutakukabidhi then Deni unayodaiwa utarejesha kidogo kidogo kwa riba ya asilimia 8 ya kiasi unachodaiwa
 
Nyumba ya milioni 32 inakuwa ya ukubwa gani mkuu? Hebu tupe details za kutosha hasa idadi ya vyumba na ukubwa wake na pia kama mnafanyakazi hata mikoani maana hali iliyopo sasa mifukoni nadhani nyie ndiyo mtakuwa kimbilio langu.
Ni Vyumba viwil self vyote ukubwa 4.5*4.5 kwa chumba then sebule choo cha public, dining, store na jiko karibu sana mikoan kote tunafanya kaz mpaka zanzibar
 
Kama hizi tu tofauti ni kwamba zile ni room mbil na hizi ni room tatu na nyingine nne bt everything ni sawa tofauti vyumba

Weka picha ya hiyo ya vyumba viwili kwani siamini kuwa muonekano wa nyumba ya vyumba vinne ni sawa na ule wa vyumba viwili!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom