Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,524
Mi naelewa vipimo vya futi vile, lets say 10*10 au 10*12 au 8*10 ila hio ya 4.5*4.5 nikahisi itakuwa banda la kukVikubwa sema itakuwa huelew hizo calculation
Mi naelewa vipimo vya futi vile, lets say 10*10 au 10*12 au 8*10 ila hio ya 4.5*4.5 nikahisi itakuwa banda la kukVikubwa sema itakuwa huelew hizo calculation
Hapana kaka wewe vipimo vyako si locally hivi ni kwa square meta ni kubwa sanaMi naelewa vipimo vya futi vile, lets say 10*10 au 10*12 au 8*10 ila hio ya 4.5*4.5 nikahisi itakuwa banda la kuk
Karibu kiongoz inawezekana 0763772636 tupo Tz nzimaNataka kujengewa Dodoma. Inawezekana?
Nimeshaweka kiongoz
Nimeshakuonyesha mkuu pia usipende kuwa mwepesi kuita wenzio matapeli ili hali huna ushaidiMkuu kuwa mkweli acha utapeli umeambiwa onesha nyumba ya milioni 32 unaonesha zingine ila km ni nyumba zile karibu ya mwasonga ndio unasema nyumba zile kota ule ni uchafu mkuu.
Mil 54 best quality bati ya kigae, tiles za spain, Italy or France grade two na ukihitaji za China ni grade one tutakupa ofa ya Raman na kukuandalia BOQ bure kabisa karibu kiongozNyumba ya vyumba 3 inakuwa shs ngapi?
Tupo Buzuruga Plaza bosi nakuomba uni WhatsApp/ au call 0763772636 karibu sana kiongozTafadahli mimi niko mwanza je nitawapateje of coz nataka nyumba maeneo ya nyasaka buhongwa au machinjioni tafadhali jibu kwa mawasiliano zaidi
Karibu boss
Nimeku PM bossTafadahli mimi niko mwanza je nitawapateje of coz nataka nyumba maeneo ya nyasaka buhongwa au machinjioni tafadhali jibu kwa mawasiliano zaidi
Uliza swali bure kabisa bila malipo
Gorofa la ukubwa gani?je ghorofa mtajeng kw tsh ngap?
Mil 110ya ghorofa moja
Kwa vipimo hivyo mbona ni vikubwa aiseee!! Labda jamaa yetu anataka uwanja wa mpira ndani ya nyumba!! Hongereni madogo kwa kubuni kampuni ya kufanya kazi za hivyo, hii itawafungua macho vijana wengi wanao-graduate na kubaki wakililia ajira za serikali!!Vinaudogo gan kiongoz kama chumba cha kawaida ni 3* 3? Masta ni 4.5*4.5 yaan chumba cha square almost 18?![]()
![]()
sasa kama Mfano hivi vinaudogo gani bosi?