Mikoba ya wadada siku hizi inaficha mengi!

Ni kawaida kwa wadada kubeba vitu vya
kujistiri,wala siyo siku hizi.
Kama kwenye sherehe hiyo
hawakuweka tissue za kujifutia
endapo utachafuka,ulitaka afanyeji
kama siyo kutumia nyenzo yake mwenyewe?

Macho yangu mimi yanaona
mkono ukigusa toilet paper
labda kama kuna lingine nieleweshwe.

Tazama vizuri mzunguko wa toilet paper kwa nje ili uone hiyo tissue imegusana na nini - kipande cha mguu wa kuku?
 
Mi ndo maana sipendi tabia za wapiga picha
wanaojizungusha ukumbini wanapiga picha
watu hovyo hovyo bila ridhaa yao na kuzianika pale nje.
Usiponunua na kuiondoa sura yako pale
inaweza kufanyiwa lolote,maana inabaki mikononi mwao.

Mbaya zaidi,mbaya wako anaweza kukuwahi
akainunua ukitoka hukuti picha yako,kumbe imeishachukuliwa
kwa matumizi ya kukudhuru,bahati mbaya jicho
la kuwamulika halifanyi kazi.
 
Nafikilia kuagiza ili niuze dukani kwangu...ila sijajuwa kama serikali haitanifuatilia. Au wamesharuhusu kwani nahisi Wateja ni wengi sana ila sijajajuwa niuzeje? Mwenye ushauri hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom