olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 402
- 834
Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu.
Swali la kuijiuliza ni:
1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli?
2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa kirahisi?
3. Makampuni ya simu hayajafanya kitihada za kuzuia wezi katika mitandao yao mpaka TCRA ameleta takwimu hizi?
4. Elimu hafifu juu ya uelewa wa miamala ya njia ya simu mikoa hii?