Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 437
- 632
Romano umemuacha mkuu au Chabuluma yuko vizuri nayeWadau wa 1Xbet kuna huyu wakala anaitwa MILINGA ni dizaini ya matapeli,,, muwe makini naye!
Romano umemuacha mkuu au Chabuluma yuko vizuri nayeWadau wa 1Xbet kuna huyu wakala anaitwa MILINGA ni dizaini ya matapeli,,, muwe makini naye!
Nikajua ni 200mil 🤣🤣🤣🔥🔥Diamond na wasafi yake nmembutua vibaya😅😅
Hahahaha daaah! Mkuu umebutua kopo la kombolela au😁😁😇😇🔥🔥Diamond na wasafi yake nmembutua vibaya😅😅
Duhhhh aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥Diamond na wasafi yake nmembutua vibaya😅😅
Mwendo wa over 1.5 kipindi hiki cha mwisho wa leaguesKubet ni kazi ngumu sana iheshimiwe mammae!
Usijaribu Serie A na French league, utaumia vibayaMwendo wa over 1.5 kipindi hiki cha mwisho wa leagues
Yanini nihangaike alafu niliwe
Ujinga mtupu, nihangaike kusoma code isiyo na uhakika wowote!? Huo upumbsvu ungekaa nao tu