Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,954
- 8,970
MhhhVp timu zetu simba na yanga zitatoboa leo kweli
Karibu kwenye Chama
MhhhVp timu zetu simba na yanga zitatoboa leo kweli
Naona zimekuwa postponed maana zote zina mechi tarehe 1 na 2Mhhh
Karibu kwenye Chama
Kuna nini tena mkuu..?Mwenye namba ya Betpawa basi tuwapigie
Nenda kwenye ukurasa wao Facebook chat naoMwenye namba ya Betpawa basi tuwapigie
Mmbwa hawa wanaruka2 tuGalatasaray Istanbul Mungu anawaona endeleeni tu..
Galatasaray Istanbul Mungu anawaona endeleeni tu..
Wana cheza vichaa tu haya marobotiAviator inammaliza rafiki yangu
Nimeona tupo location moja tutafutane inbox