Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 3,288
- 7,930
Ukaedit mwenyewe tena😂😂😂. Ushaliwa kichwaedited 97514E4 betpawa
Ukaedit mwenyewe tena😂😂😂. Ushaliwa kichwaedited 97514E4 betpawa
Ngoja nitembee naye kwa rollover nione mwshoYeah ni 2+ odds tu daily......pia night kali anatumaga code ya basketball 🏀 2+ odds.....nitakuwa nashare hapa kila akiweka mkeka...
Pamoja mkuu...kila la kheriNgoja nitembee naye kwa rollover nione mwsho
hapo kwenyewe nataka niedit tena nina wasiwasi na urenoUkaedit mwenyewe tena😂😂😂. Ushaliwa kichwa
qumq mae moderatorsDah moderator wamegundua §uma ni tusi tukishaliwa tunatukana sana wameamua kuliwekea cencership, yaani unaanza na q lakini haliandikiki.
Bado hujasema mkuu.Duu acha nipumzike kwa hivi vipigo Yan mtoto mdogo kama mimi sahz ukiniangalia kama Kibabu cha miaka 50 kisa stress za kanji! Silali vizuri kutwa kuchambua timu mpaka usiku wa manane mara kwenye source mbalimbali mara kwenye magroup lakini wapi kanji ananishika matako tu kila nikiinuka ananipapasa tu makalio! Ngoja nichukue break tutakutana weekend! Yan Tangu nianze Kubet mwaka 2015 hela alizochukua kanji ningekuwa nimejenga shule yangu ya darasa la kwanza mpaka la saba
Pamoja mkuu...kila la kheri
😂uwii kumbe InawezekanaNimelala na kuamka jackpot imekubali. Ipo siku naamini nitalamba hizo milioni 200.
Mkuu hyo gb unaipataje🤡usiwauzie watu kitu ambacho kinapatikana bure.
wazee, kupata 1GB ya bure halotel, download app ya MyHalo (siyo MY HALOTEL ). install app halafu jaza namba yako ya simu
Link yake sina mkuu...ningeweka hapaTuma link ya group hilo mkuu utakuwa umesaidia wengi wajiunge
akikujibu nitag nishaidownload hapa sijui cha kufanyaMkuu hyo gb unaipataje
Duh!mbn gawio dogo ivyo?Nimelala na kuamka jackpot imekubali. Ipo siku naamini nitalamba hizo milioni 200.
100 upate laki gawio dogooMbet ndo balaa sasa unaweza pewa buku 3 hapo umekosa mechi 1.Duh!mbn gawio dogo ivyo?